SAFARI YA ZANZIBAR - Sehemu ya 23



Page Bahari ya simulizi
WhatsApp 0755090082

Tusonge mbele......
Nilianza kupga chafya jamani uyu mtoto ana mashaazi ya baba ake kabsa

Oooh naona itakua ni pafim yangu iyo

Aliongea mama yake wakambo Abdul

Kama niivo njoo na mimi nikupe nguo ya kubadili bas walitoka pamoja yani mama Abdul ni mzungu wa loho

Baada ya muda wali ludi na kukaa wanaongea ongea

Mlango uligogwa we nyamtumbo njoo basi ufungue jamani nitaziweka chini izi chocolate alafu duli junia akupige mangumi na mateke

Waliokua ndani walicheka hao niliinuka talatibu na kwenda kufungua
Kalibu

Aah ulikua wapi kutupa macho pembeni ana muona baba yake loho yake yani Abdul ana mpenda baba yake k😊fa unajua alisahau kabisa kama ana ugovi na baba yake

Baba upo apa

Ndiyo mwanangu unaitaji kunisamehe baba yako niliteleza mimi

Apana baba mkubwa akosei yani kitendo cha wewe kuja apa tu baada ya miaka mingi basi mimi sina kinyongo na wewe baba angu

Walikumbatiana nakwambia fulaha tupu uku mama na mke mwenzie nao waliombana msamaha

Mke wangu najua mimi ni mkosefu na sijui ni anzie wapi kukuomba ladhi ila napokea azabu yoyote ile

Mie sina azabu ya kukulipa nimesha kusamehe na naitaji umtambue mkwe wetu anaitwa
Tumaini

Bas nilitambulishwa pale

Macho yangu yote ya likua kwa Abdul alionesha kufulah vibaya baada ya ujio wa baba yake kile kipind alikua
Ana subuliwa na upweke pia

Baba lakini bado mimi sijaoana na Tuma kiasi kingine kama mungu amejibu maombi yangu maana nilitamani baba yangu ushuudie ndoa yangu

Sawa mwanangu mimi na mama zako tita maliza kila kitu wewe Kazi yako kuowa tu ila mpaka mkwe akijifungua

Kilipikwa kikaliwa pale ilikua ni siku ya fulaha watu waliweka mbali tofauti zao yani najivunia kuitwa Tumaini maana nimeludisha Tumaini katika familia hii

Baada ya wageni kuondoka Tulibaki mimi Abdul wangu baba na mama yani baada ya miaka leo mama ndo ana lala tena na mumewe

Tulibdi tuwaache waya jenge

We nyamtumbo ebu twende uku Abdul alinishika mkono tukaenda ndani kwetu

😜😜#everyone

JE NINI KITAENDELEAAA
SIMULIZI HI IMEKAMILIKA MPK. MWISHO KABISA
LEO NDO LEO NAMWAGA OFAAA
KUIPATA YOTE NI 500 TU KISHA NAKUPA NA OFAAA YA SIMULIZI MPYA YENYE VIPANDE 43BUREEEE 😍😍😍😍🔥🔥🔥🔥😋

NJO WHATSAPP 0755090082
UKIFIKA SEMA NATAKA OFAAAA YA KUMALIZIA SAFARI YA ZANZIBAR MPK MWISHO NA OFAA YA SIMULIZI MPYA YENYE VIPANDE 43BUREEEE 💃💃💃 
See less

Comments

Popular posts from this blog

Chombezo : Huruma Ya Dudu Sehemu Ya : Pili (2)

Leyla binti bikra -01

Chombezo: mwajamu utamu sehemu ya 15 (mwishoo)