Sehemu ya tano.
" Amina unataka kuniingiza majaribuni naogopa wake za watu.
" PATRICK kwani wewe utamwambia mtu njoo PATRICK nimeolewa bahati mbaya tu ningekuona kabla ya uyo msukule wangu nisingekubali.
" Amina naomba kwa Leo tuache kama kufanya tukafanyie mbali sio hapa sitakuwa na uwezo kamiri.
" Njoo basi kitandani PATRICK.
( PATRICK anaushinda moyo anaogopa mke wa mtu...akafungua mlango akatoka nje uku kichwani anasema zinaa aiombewi bali inakimbiwa....sasa anasikia joji anampiga anjel)
" Joji naumwa unanipiga.
" Unaleta ujinga unajua shuka nimenunua shilingi ngapi hili unatapikia.
( PATRICK alienda kugonga na joji akafungua)
" Vipi rafiki yangu mbona unampiga tena Shemeji.
" Anazingua anatapika kwenye shuka langu la thamani.
" Joji shuka si linafuliwa kwanini sasa umpige na yeye sio anafanya kusudi.
" Mimi acha nitoke tu nikalale gest sipendi kuona matapishi mimi chumba kinanuka.
( Joji aliondoka...PATRICK akaingia ndani anamwambia Shemeji yake)
" Usilie nyamaza ugonjwa utauongeza.
" Joji kabadilika kuniona mimi naumwa naumia.
" Nyanyuka Shemeji kwanza nitoe shuka hili.
( PATRICK alimsaidia anjel kufua lile shuka na akalianika usiku huo huo akamsafishia ndani akamuacha akiwa amelala sehemu safi...akarudi chumbani kwake akumuona tena amina kaenda kulala chumbani kwake sasa amina anawaza)
" PATRICK mwanaume kamili kweli mitego yote hii yeye amekuwa mgumu kaona paja nimelala kitandani kwake bado ajiongezi anile"
( Aliwaza sana akalala...PATRICK asubuhi akamwandalia Shemeji yake chai akanywa alafu yeye akaondoka zake kutafuta lidhiki funguo akamwachia anjel uku kichwani anawaza....joji kwanini anamtesa anjel...kama ampendi kwanini amemuoa?....anawaza anawazua jioni ikafika joji akampigia simu PATRICK)
" Oya mimi sirudi home nimempigia simu Shemeji yako nimemwambia amwambie ndugu yake yoyote aje amuuguze hapo akipona nitarudi.
" Samahani joji kwenye swali nitakalo kuuliza?
" Uliza tu.
" Ulipomuoa ukusikia neno shida na raha.
" Nimesikia ila mimi kukaa na mgonjwa siwezi kwanza mimi napenda kula kitu roho inapenda uyo mgonjwa nitamlaje siwezi kuliumiza tango langu.
" Joji unauguza unawaza mapenzi?
" Sio mimi kichwa cha chini akijui kuuguza kinataka tu haki yake sasa kulizuia ilo Bora nisirudi nyumbani.
" Poa rafiki yangu.
" Poa.
( PATRICK aliludi akamkuta anjel mnyonge sana)
" Shemeji vipi?
" Safi.
" Mbona kinyonge.
" Rafiki yako kanipa maneno ya mauzi ataki kurudi na ameniambia akiludi nimpe haki yake ya ndoa ivi mimi naumwa ivi nitaweza kweli.
" Usiwaze wewe ona kama akuna kilichotokea kula kunywa dawa lala.
" Sawa Shemeji yangu.
" Poa si umeshakula?
" Ndio ila Shemeji naomba kitu kimoja.
" Niambie.
" Naomba usiwe na mazoea na amina.
" Kwanini Shemeji mbona umenistua.
" Nimekuomba tu usiwe na mazoea nae Leo nimemnyima funguo.
" Sawa ila ungeniambia kidogo tu Shemeji utaki kwa sababu gani.
" Shemeji nikipona nitakwambia.
" Unaniweka na mawazo sasa ungeniambia kidogo tu Shemeji yangu.
" Subili nipone nitakwambia sitaki uwe na mazoea nae tu kwanza.
" Poa Shemeji mimi naenda kulala nimechoka Sana.
" Shemeji Samahani nimekaa sana kitandani kiuno kinaniuma naomba uninyoshe kidogo.
" Mimi mzito Shemeji nikipanda juu nitakuumiza.
" Sio uninyoshe kwa miguu uninyoshe kwa mikono Samahani lakini.
" Basi jitaidi uje nikunyoshe chumbani kwangu.
" Sawa.
( Anjel anatoka chumbani kwake anaingia chumbani kwa PATRICK akanyoshwe kiuno...PATRICK akili yake inampa yupo kwenye msaada)
" Utalala hapa chini au?
" Nalala kitandani Shemeji.
" Sawa.
( Anjel kalala kitandani...PATRICK kuweka mikono kwenye kiuno nia amnyoshe anakutana na shanga kama zote amezishika)
" Usistuke Shemeji zishike tu ninyoshe Shemeji yangu kiuno.
" Samahani kazitoe kwanza izi shanga zinanisisimua wewe Shemeji yangu.
( Anjel akapeleka mkono mbele ya PATRICK anasema)
" Mbona sioni kama umesisimka.
( Yani mkono ajatoa tu kitu kikasimama hapo hapo...anjel akastuka)
" Shemeji umejaaliwa wewe umeona matuta yangu hospital naomba na mimi nione kidogo Shemeji itakuwa siri yetu.
" Unataka uone nini.
" Hii.
( Anaipapasa IPO ndani ya suruali)
ITAENDELEA
PATRICK ATACHOMOKA KWENYE MTEGO HUO ANJEL ANATAKA KUONA KIDOGO.
