SAFARI YA ZANZIBAR - Sehemu ya 09





Page Bahari ya simulizi
Walitoa zawadi kwa pamoja si unajua watu wenye pesa yani walimwaga pesa tuu
Baada kumaliza tulipata chakula Abdul yeye akula na tokea ameludi ajaongea chochote Shangazi alienda kuaga ili tupate kwenda mimi na Abdul tukawa tuna msubilia wakati nataka kumongelesha kipenzi changu cha muda

Bas Aliyah alifika na kusimama mbele ya Abdul
Nikaona ngoja niwape nafas nilisogea pembeni kidogo
Wakati huo sim yangu ikaita kutazama ata kuwa nani mbona usiku sana
Alikua ni mangi mmh jamani utamu wangu

Vipi mbona usiku huu
Nimekumis tu jamani sijakuona miezi miwili upo wapi nipo ila usinipigie sim tumeachana kwa muda
Nilikata sim wakati uku Abdul amemuacha Aliyah na kuingia kwenye gar
Baada ya muda shangazi akawa analudi Lakini kuna mdada wa makamo alimsimamisha
Ebu subili kidogo we mwanamke mwenye kizazi cha luti
Unataka nini kwangu kwani eeh
Nitake nini tena wakati mume ninae shoga angu
Sasa kama mume unae mbona bado unanifatafata
Aaaah jamani nilikuja kukujuza kua nina ujauzito mwingine na ivi kalibuni tuna pata mtoto wetu wa pili na mume wangu kipenzi
Ongela na nakuombea heli daima muzae sana mpaka mujaze dunia
Shangazi alimuacha yule mdada na kuja nilipo
Vipi yupo wapi Abdul
Yupo kwenye gar shangazi wakati uwo Aliyah alikua kashaondoka
Tuliingia kwenye gar safali ya kuludi nyumbani
Tufika na kuingia ndani shangazi akaenda chumbani kwake
Tukabaki wawili tu talatibu nasie tukapandish kuelekea vyumbani kwetu
Wakati Abdul anaingia chumbani kwake namie nikaingia uko uko leo nitajua mbichi na mbivu
Weh mbona chumbani kwangu vip eeh
Jamani kipenzi si nilisha kwambia kuwa ninakuitaji usiku huu
Ebu acha ujinga wewe nenda chumbani kwako
Nitaenda lakini mpaka unipe kwanza
Alinitazama alafu nais ata akunimaliza aka kaa chini
Sijui kwanini nimekuwa mpole na nimekuwa siwezi kukukasilikia wewe Tuma lakini nataka ujue kuwa mimi ni shoga ivo siwezi kukupa chochote naomba utoke
Ina maana ni kweli nili muuliza bila ya kusita
Ili jambo sio la sili Tuma ata watoto wanajua
Lakini mimi nakupenda Abdul siwezi kujizuia ety kisa wewe ni shoga kwangu mimi wewe ni mwanaume kamili
Niliamua kumuigizia mapenzi maana niliona ndo mbinu iliyo fanya kazi kilais
Ebu toka katika maisha yangu tafadhal Tuma
Siwezi Abdul nakupenda yani apo nisha msogelea na kuanza kumpapasa
Alijitoa alaka nimesema toka kabla sijafa kitu cha kijinga Tuma
Ina maana unanichukia namna iyo sawa nilitoka uku najifanya nimekasilika lakini ata akunizuia
Niliingia chumbani kwangu
Ina maana nikweli sasa inabidi ni jalibu kufanya nae mapenzi au nifanye je mimi Tumaini mkaka mzuli huyu Jamani amealibikiwa
Nilipitiwa na usingizi palepale yani ata kuoga sijaoga
Asubuh niliandaa chai kwakua ilikua j pili
Baada ya muda shangazi aliamka pia
Tumaini unaendelea je
Niko salama vip wewe shangazi niko vizul sawa chai ipo tayali
Sawa bas tuka tupate chai kwa pamoja
Nakuja shangazi nisubili kidogo nilitoka nikaenda chumbani kwa Abdul kugonga
Ingia vipi mbona asubuh yote ii kulikoni
Nataka tukapate chai pamoja kama familia
Sina njaa saiz we nenda tu ukaendelee
Abdul umesema uwezi kuwa na mimi nimekubali je uwezi kunifanya nipate fulaha tu ya kuwa kalibu na wewe naitaji tuwe ata malafiki wazuli tafadhal
Wakati anafikilia nilimshika mkono aligomagoma mwishoe akalegeza tukashuka pamoja sebleni shangazi alifura kwambali maana kilichotokea Sasa uwiiiiiiii



#everyone
JE NINI KITAENDELEAAA
SIMULIZI HI IMEKAMILIKA MPK. MWISHO KABISA
KUIPATA YOTE NI 1000 TU
NJO WHATSAPP 075509008
Comments
Post a Comment