SAFARI YA ZANZIBAR Sehemu ya 08

 


Page Bahari ya simulizi

Tusonge mbele ......
Nilienda jikoni kujishugulisha maana sikuwa na chakufanya nilimpiga kaka ilikujua kama amefika
Baada ya kutimiliwa chumbani kwa Abdul niliamua kwenda jikoni kuongea na kaka ili kujua kama amefika salama
Alooh kaka
Nambia dogo
Vipi umefika
Ndiyo tumefika mda si mlef niliongea na mama pale alifulai kupokea ugeni mwenyew daa kweli fulaha ya mzazi ni watoto

Baada ya muda aliludi shangazi
Tumaini unafanya nini jikoni wikiendi yote ii amna naosha vyombo tu naona vimekaa mda mlefu kabatin

Abu achana navyo kajiandae tutoke alinipa mfuko kulikua na nguo
Nilienda kujiaandaa baada ya mda nililudi nilimkuta Abdul na mama yake wakiwa tayali

Abdul ananitazama jicho la asila vibaya
Nilisogea kalibu yake na kumshika mkoni kidogo kiuchokozi

Tunaweza kwenda sasa alisema shangazi

Safali ilitupeleka katika jengo moja lilipo pemben mwa mji kalibu wifi tulikalibishwa na kupewa siti

Baada ya mda alikuja Aliyah ooh kalibu Jamani alisalimana shangazi yake palikua ni nyumba kwao kumbe alisogelea Abdul au tuseme bby wake maana mwenyew ana mpenda kufa

Mambo mpenzi punguza shobo alimkata makavu aah Jamani nauyu nae si angetulia tu ana mchokoza Abdul mbele za watu

Aliona aibu akaondoka

Kwambali ilionekana familia inakuja lakini Abdul alipani gafla akainuka na kuondoka mimi na shangazi ili bidi tumfuate

Abdul ebu subili

Nini mama ulisema uyu mzee ato kuja na ndo maana nikakubali kuja na wewe mbona yupo apa

Ata mimi sijui mwanangu

Kama aujui bas wacha niende zangu siwezi kubaki kama yupo

Aliondoka kuelekea kwenye gar

Shangazi wacha nikaongee nae

Nilimfata nikamshika talatibu kama kawaida yangu

Chaajabu akugeuka lakini alisema nini sasa Tumaini

Nilishangaa kajuaje kuwa ni mimi

Naitaji tuongee kidogo prizi ebu punguza jazba kipenzi

Sema yani kwa mala ya kwanza Alikuwa mpole na akakubali kunisikiliza

Full kuji tongozesha yani daah ety kipenzi sijui kwanini unaasila na baba yako lakini leo siyo seem sahihi apa alafu kama unaugovi na mtu utakiwi kimkimbia atakuona wew ni zaifu na wakati wote ata shida
Ili kuwamini ilo muangalie shangazi yani na maanisha mama yako wanaugovi pia lakini agopi kumfes
Na wewe kuwa jisili bas

Tafadhal naomba ubaki

Nilimpa maneno ya kumtia ujasili
Alafu nikamuacha aamue pekee yake

Nikaludi mpaka alipo shangazi

Tumaini vipi amegoma

Ndiyo shangazi naisi itakuwa kashaondoka

Ilikua ni shelehe ya kumaliza chuo ya mdogo wake Aliyah

Muda wazawadi ulifika shangazi akanyanyuka akaenda mbele kutoa zawadi

Haaa saangapi na Abdul asiludi ile nageuka kidogo na muona na yeye uyo anaelekea mbele alipo mama yake mara gafla 😲😲😲😳😳

#everyone

JE NINI KITAENDELEAAA
SIMULIZI HI IMEKAMILIKA MPK. MWISHO KABISA
KUIPATA YOTE NI 1000 TU
NJO WHATSAPP 0755090082

Comments

Popular posts from this blog

Chombezo : Huruma Ya Dudu Sehemu Ya : Pili (2)

Leyla binti bikra -01

SEHEMU YA 06---10