SAFARI YA ZANZIBAR Sehemu ya 12
WhatsApp 0755090082
Nilikua na mchumba shule nilikua nampenda sana sana sana upendo wangu kwauyo bint aukua ni kama utoto bali nilitalaji mengi kati yetu siku moja tulijifungia makta ili tufanye yetu kwa mala ya kwanza
Lakini iyo siku ndo imeadhil maisha yangu mpaka leo
Maana wakati tushavua nakuanza mambo yetu maumbile yalikua makubwa ila tulazimisha ivoivo kitendo kile kilipelekea yule bint kuzimia ilikua ni tahaluki sana kwangu maana nilijua nimesha uwa nililia na kulia mpaka nikaweka ahadi kama uyo bint ataamka basi sitakuja kufanya tena ilijambo maana ni kitu ambacho kina mazala kwa wanawake
Baada ya msaa mawili ndo aliam
Nilimshukulu mungu na ndo ikawa mwanzo na mwisho mimi kua na mausiano maana ata yule bint alinikaataa kuanzia siku iyo
Duuuh yani kwasababu iyo ndo ukaishi maisha yako yote kama mtuumiwa
Ina maana siyo kweli kila linalo semwa kumbe wewe ni mwanaume kamili
Ndiyo Tuma sijawai kujiusisha na ayo mambo katika maisha yangu
Nilijikuta nasema asante mungu kwa sauti ya kumaanisha mpaka Abdul akazani ni kwasababu na mpenda na nimegundua siyo shoga kumbe mie nilisema kwa jili ya mama yake maana zitakuwa ni taalifa njema izi
Tuma ina maana unanipanda kiasi icho
Ili bidi nikubali tu mwali wenu
Abdul sijawai kutania nilisema nakupenda na maanisha
#everyone
Abdul sijawai kutania nilisema nakupenda na maanisha
Nilizidi kugongelea msumali katika imani yake na sijali lolote ninachotaka ni kuwa na wew
Tafadhal nipo kee
Kabla ajaju chochote tukasikia mtu anaita
Bos bos
Aah twende sasa
Nick amefika
Samahan boss kwa kuchelewa
Aina shida nick unaweza kwenda sasa
Poa boss
Nick akaondoka
Tulikula kimya kimya kila mmoja wetu akitafakali mambo yake kichwani
Baada ya kula sasa tulikaa pamoja tunacheza gem yani nilishangaa kumuona Abdul anainjoy sana uwepo wangu
Tuma asante kwakuja katika maisha yangu ambayo ayana fulaha
Mmmmh siyo kweli unamjua mama yako anakupenda sana na anaumia kwa maneno ya watu ebu muondolee mama yako aibu
Najua Tuma kama mama ananipenda sana tena ameamua kuitelekeza ndoa yake kwajili yangu Lakini baba ajali kabsa kuusu mimi ili jambo linazidi kuniumiza maana mimi toka mdogo nilikua nampenda baba kuliko mama naumia sana kuwa mbali na baba
Pole ila inabidi umfungue fikla baba yako aache kuamini maneno ya kuambiwa na
Apo ndo pakuwafunga
midomo sasa wote walio kuzalau
Nilianza kumsogelea kalibu zaidi
Aaah aaah Tafadhal usifanye ivo mi naogopa usipate matatizo
Mara gafla nashangaa







JE NINI KITAENDELEAAA
SIMULIZI HI IMEKAMILIKA MPK. MWISHO KABISA
KUIPATA YOTE NI 1000 TU
NJO WHATSAPP 0755090082
Comments
Post a Comment