SAFARI YA ZANZIBAR - Sehemu ya 14 na 15

.mtanisamehe kulikuwa na tatizo la umeme ivo sikuweza kuandika ndefu Ila simulizi ipo kamili WhatsApp 0755090082 kwa 1000 TU
Tusonge mbele
Nje alikua kaka ana msubili hasani yupo mmh jamani kaka ameludi lini nilijiuliza maana sina taalifa za kuludi kwake
Tulisalimana pale kisha ao wakaondoka tuliludi ndani na shangazi
Shangazi sasa wacha nikuambie kuusu mwanao nilisimulia kila kitu kutokea mwanzo na sababu yani alishukulu huyo atali
Tumaini ina maana mwanangu ni lijali
Ndiyo shangazi asante sana sana sana Tumaini
Nilikaa kama wiki na shangazi alinimalizia pesa yangu na akanipa ya ziada nikiwa na jianda na safali ili Abdul akiludi asinikute alinipa matv na maflig yani nilikua na mzigo wa maana
Siku ya kuondoka alinisindikiza mpaka nikapanda boti nyie ndo zanzibar na iyaga ivoo na ludi bongo
Nilimpigia mama kumpa taalifa atafute keli ya bei lais aje kunipokea
Baada ya lisaa nilifika na nilimkuta mama na wifi wakinisubili ilipakiwa mizigo na makuli
Tukafika nyumban lakini apa kua kule nilipo pazoea ilikua ni eneo tofaut
Kalibu makazi mapya
Mama mumeama lini
Acha maswali kama unaondoka sasaivi ebu tulia ndo kwanza umefika ebu kaoge kwanza upate chakula
Nilikabiziwa chumba changu
Nilijiandaa na baada muda nikatoka ili nipate chakula na pia nilimsi sana mama Tuma
Nambie mwanangu kazi ilienda poa
Ndiyo mama nitaku simulia baadae
Vipi mwanangu kazi ilienda poa ndiyo mama Nitakusimlia baadae ila kwa sasa wacha nile mzazi wangu
Nilikula pale baada ya muda ndo nikapata nafas ya kumwambia mama kila kitu
Sawa mwanangu ila inatakiwa uwepushe lawama
Kivp sasa mzazi wangu
Vunja au weka pembeni kwa muda iyo laini maana lazima atakutafuta
Nililikubali wazo la mama nikaiweka pembeni ile lain ili jioni baba akiludi nimuombe anisajilie lain mpya
Jioni baba aliludi nilimuomba akakubali nilibadili namba
Baba naitaji uache kazi sasa
Mwanangu kwanini
kuna kias kama milion kumi apa baba
naomba ufungue duka baba angu upumzike sasa
Nilimkabidhi baba ile pesa na baba alishukulu kwa kupata japo watoto wawili kati ya wanne ambao wana jali kuusu wao na apo ndo nikajua kua iinyumba itakua amenunu kaka hasani kwajili ya wazaz wetu
Baba ina maana iinyumba
Ndiyo ivo ivo unavo waza kaka yako ametununulia apa
Niliisi fulaha ya ajabu moyoni maana ilikua ni ndoto yangu kuwatoa wazazi katika maisha ya kupanga
Zilipita kama wiki mbili iv
Tuma eeeh sim ii kaka yako anataka kuongea na wewe
Alikua ni wifi nilipokea sim
Alooh eeh vipo dogo poa tu kaka nambie mbona kama unahof kuna nini kaka
Yani dogo acha tu apa ndo tumeludi jana na Abdul ana mchachafya mama yake atali yani amekua mbogo ana kutaka wewe yani anachofikilia uwenda mama yake amekufukuza kazi na ni bola ulivo zima sim
Dogo
Kaka unazani ilijambo alitokua baya kwa baadae maana tulifanya bila ya kufikilia mbele unajua mi naogopa sana
Eeebu tulia kwanza maan ata mimi naogopa akijua wewe ni mdogo wangu nitakua nimeisha maana kila wakati ana naangalia picha zako
Saw kaka wacha tumuachie mungu tu na asante kwa nyumba kaka
We mjinga kweli ebu uwolewe nyumba ni kwajili ya wazazi
Aya bhn nitaolewa mke wapili na shemeji yako mangi
Aaah we dogo bado upo tu na uyo mbaba
Kumbe jee niende wapi mie
Bas tuliongea mno baada ya muda nililudisha sim
Kesho itabidi nilud kaka yako kasema
Sawa wifi aina shida nitakusindikiza
UPANDE WA ABDUL
Mama nataka unambie yupo wapi Tuma
Mwanangu tuma Aliacha kazi pekeake niamini
Sasa sitaludi apa nyumban mpaka pale nitakapo mpata Tuma
Usifanye ivo Mwanangu unajua sina mwingine zaidi yako
Kama auna mwingine na mimi sina mwingine zaidi yake
Namuitaji awe apa
Ina maana unampenda Tumaini mwanangu
Ilo ni jibu mama
Mungu wangu nitafanya nini sasa
Una maana gani kusema ivyo mama
IIsiyo sawa kabisa mimi kukuambia ili swala lakini
Lakini nini mama si useme
Lakini Tumaini alikua apa kwa kazi maalum na kazi yenyewe ni wewe nilimtumia ili kufaham kama wewe ni lijali mwanangu au au


Haaa mama ina maana Tuma alikua ana niigizia muda wote apana siyo kweli mama niliona upendo machoni mwake
Nitamtafuta ili anisibitishie mwenyew kama kweli alinifanya mimi kama biashala na yale yote tulio yafanya ni moja wapo ya kazi yake
Wakati nawaza hayo gafla nashangaa






JE NINI KITAENDELEAAA
SIMULIZI HI IMEKAMILIKA MPK. MWISHO KABISA
KUIPATA YOTE NI 1000 TU
NJO WHATSAPP 0755090082
Comments
Post a Comment