SAFARI YA ZANZIBAR - Sehemu ya 16
Page Bahari ya simulizi
Tusonge mbele......
Nani alimleta apa Tuma mama nakuuliza
Ustake nikuchukie
Lakini mwanangu
Mama nani alie mleta Tuma apa nakuuliza kwa mala ya mwisho
Alikua ni hasani
Hasani uyu mfanyakazi wangu
Ndyo
Alitoa sim na kumpgia kaka hasani
Alooh eeeh boss
Hasani niambie ulipo nataka kukuona mda uu
Boss niko nyumban
Saw nitakua apo baada ya dakika kazaa
Alitoka bila ya kumuaga mama yake
Mmmh vipi mume mbona una wasi wasi
Boss Abdul anakuja tena anaonekana ayupo sawa naofia madam uwenda atakua amenitaja sijui itakuwa je
Baada ya muda Abdul alifika nyumban kwa kaka
Kalibu boss
Nataka kujua ulimpatia wapi yule bint Tuma
Boss wanini kwani maana waliondoka mabint wengi kwanini Tumaini awe na umuimu ivyo
Siyo jukumu lako kujua mimi nataka nimpate nina maswali kazaa kwajili yake
Mpigie sim
Apatikani alafu ngoja ina maana na wewe ulikua unajua kazi ya yule bint eeeh na kuuliza hasani
Ndyo boss najua ila Nisamehe boss
Haah yani mtu ninae kuamini tena nakuchukulia kama lafiki unaweza kunificha jambo zito kama ili yaan ata siamini kama watu wangu wakalibu ndo wamefanya leo napata maumivu kama aya
Nisamehe boss nisinge weza kuipinga kauli ya madam
Naataivo ilikua ni kwajili yako maana Tunaitaji kukuona na fulaha ilibidi tu kutumia mbinu chafu ili tufanikiwe
Daah mumefanikiwa kuniumiza na kuanzia leo siitaji kukuona mbele yangu auna kazi
Boss apana usifanye ivo boss
Kama unaitaji kazi yako mlete Tuma kwangu
Alafu uyo akaondoka
Mume wangu unaitajika kufanya jambo
Kwaupande wangu nipo na baba maana tulisha fungua duka la jumla na leja ile milioni kumi yote niiliiwekeza katika fulaha ya wazazi kwaiyo tukawa tuna shinda dukan
Sim yangu ili kua inaita akuwa mwingine ni kaka hassan
Eeh kaka nambie
Tumaini imekua mbaya mdogo wangu
Kivip tena
Yani uyu mtu ni kichaa tena ata sijui umempa nini amekua mbogo anachotaka ni kukuona tu naapa ninavoongea ametoka apa sasaivi na amesha nifukuza kazi mpaka pale nitakapo kupata na kukupeleka mbele yake
Mungu wangu sikujua kama itakua mbaya na mna ii sasa itakuwa je kaka
Ata mimi sijui dogo ebu subili nitafute cha kufanya kwanza nita kupigia
Eeeh mungu nisaidie tu maana atasijui atakua ana asila kiasi gani uko aliko
Nilijawa na hofu maana akinikamata sijui ata nitafanya nini mtu mwenyewe kichwa kibovu yule
Niliamua kupotezea tu maana nimefanya kilakitu kwajili ya pesa
Nikaacha maisha ya endelea tu
Mmh mama atasijisikii kuamka mapema leo we nenda tu nitakuja baadae
Wee niwiki sasa umekuwa mvivu mvivu kweli au una mimba wewe
Mama mimba tena nimeipata wapi
Mjing kweli wewe mtoto ina maana wewe ni bikla eeh
Amana mama bana sina mimba ni uchofu tuwa kazi
Kazi gani inamchosha kijana kupita wazee ebu subili apo nakuja
Aliludi na kipimo aya kapime kwanza tujue
Mama bana
Eeh na wewe uwache ubishi inuka alaka
Niliingia choon nikapima sikuamini mijicho yangu


Nilitoka nikiwa mpole
Vipi ebu nipe icho kipimo
Mama alikichuka na kukitazama
Nilijua tuu kikowapi sasa iini kubwa ii itakua umeludi nayo ii ina maana ulitembea nae bila ya kinga
Unaongelea nini mama
Alinivuta sikio
Ebu ludisha ufaham wako mjinga wewe
Kazi ime zaa kazi sasa iini kubwa ina mwezi na kitu ii mtoto mjinga wewe yani uliisahau ata kondom


JE NINI KITAENDELEAAA
SIMULIZI HI IMEKAMILIKA MPK. MWISHO KABISA
LEO NDO LEO NAMWAGA OFAAA
KUIPATA YOTE NI 800 TU
NJO WHATSAPP 0755090082
UKIFIKA SEMA NATAKA OFAAAA
Comments
Post a Comment