SAFARI YA ZANZIBAR - Sehemu ya 18
WhatsApp 0755090082
Tusonge mbele......
Mama ebu twende walitoka moja kwa moja mpaka kwa kaka hasani
Ooh kalibu Jamani asante
Kuna nini tena mbona jioni
Hasani Naomba unambie ukweli Tuma yupo wapi naa akika unajua maana ni dada yako
Kaka alishangaa uyo uuuunasemaa
Usishae dunia ni ndogo sana ii uwezi kuficha kitu kwa muda mlefu
Nisamehe tu boss ni kweli ni mdogo wangu lakini siwezi kukuambia aliko maana ni makosa yangu kumfanya aje kufanya kazi kama kuna azabu yoyote bas inanistaili mama na siyo yeye
Sina chochote cha kujadili na wewe hasani iini baina yangu na Tuma nina maswali tu nataka anijibu kama uto jali Naomba twende pamoja alipo kama unaisi labda naweza kumzulu
Sawa tuta enda kesho
Walikubalia kesho yake waje pamoja lakini mimi nisipewe taalifa maana naweza kukimbia Abdul alimpigia nick alete pesa na nguo kwa jili yake na mama yake
Maana ake walilala pale ili asubuh waanze safali
Mama mi sitaki kula nimesema
Mjing makosa ni yako na siyo ya uyo mjukuu wa zalula yani uyo akizaliwa tutamwata zalula

Mama mi staki ujue
Eeh ndo utataka sasa maana kazini kwako kumeleta kazi
Aya bwana mama leo umeniweza kweli ngoja nikalale mie
Niliingia kulala apo kichwa cha moto naweza kama shangazi ata kuwa kamuona au
Yani Abdul bana kichwa supu kweli sasa ndo nini kumsumbua mama yake kiasi hicho yani ukijijua kama unapendwa nyie
Nililala asubuh mapema ni kaamka na kichefu chefu full

Tumaini mwanangu vipi tena ebu kaapa nikupe chai mama alikua mzoefu ivo alinipa chai ya langi Ambayo amekamlia ndim apo ndo kichefu chefu kika kata
Oodiii odii wenyew
Mmmh mama uyo mbona kama kaka hasani
Ndiyo ni sauti yake kabisa
Ilibdi mamaaende kuangalia
Heeh baba kalibu kalibu sana
Tumaini Tumaini ni kaka kweli nilivosikia ni kaka nilitoka mbio nikaenda kumkumbatia kaka kalibu wakati naongea na kaka kutazama pembeni shangazi sija kaa sawa Abdul nilitaka kuzimia kwa uwoga
kaka akanituliza kwanza
Tulia kwanza nitakuelewesha vizuli
Mama aliwakalibisha ndani apo ajui kama uyo ndo Abdul na mama yake
Kalibuni sana Asante sana
Natumaini
Wewe ndo mama wa Tumaini
Ndiyo mama
Wewe je
Nilidakia alaka alaka alaka
Mama naomba tuongee kidogo
Sawa
Wakati tuna toka tu Abdul akaongea
Siyo vizuli kuteta lakini Tumaini si uwongee tu mbele yetu
Mama apo ndo akaisi Tumaini kuna nini mbona sielew
Mama uyo ni ni Abdul na mama yake mama
Yani naongea tu lakini apo uhalo usha jitengeza na kwambia
Oooh ongela kwa utambulisho mzuli vip uwezi kumwambia kua mimi ndo kazi yako ulio kua unaifanya uko zanzibar
Lakini
Lakini nini Tuma
Naomba tuongee wenyew pemben ilibidi nitoke pemben na Abdul akanifata niliingia chumbani kwangu
Aya unataka kunambia nini tuma eeh yani nilikuamini wewe sitaki ata kuamini kua wewe ulikua unanidanya kilakitu ulicho kua unafanya tuma waiiii
Alikua ana lalamika mtoto wakiume atali
Nisamehe tu
Abdul sina chakusema zaidi ya Nisamehe yote yalikua ni kwajili ya pesa
Yani Tuma mpaka kufanya mapenzi na mimi ilikua ni kwajili ya pesa
Nakuuliza ilikua ni kwajili ya pesa pia
Ndiyo
Ina maana unipendi tuma
Ndiyo
Kweli unipendi wakati kila dakika ulikua unaliimba neno nakupenda Abdul wewe ni kipenzi changu

Jamani uwiiiiii








JE NINI KITAENDELEAAA
SIMULIZI HI IMEKAMILIKA MPK. MWISHO KABISA
LEO NDO LEO NAMWAGA OFAAA
KUIPATA YOTE NI 700 TU
NJO WHATSAPP 0755090082
UKIFIKA SEMA NATAKA OFAAAA
Comments
Post a Comment