WhatsApp 0755090082
Tusonge mbele......
Alitoka kinyonge mwenyew mama naomba tuondoke sina la zaid sasa nimeamini maana Tuma kasibitisha kua ilikua ni kazi tu na akuna zaidi katika yetu
Nilitoka na mimi shangazi alinikumbatia tu naondoka sasa Tumaini tuta onana
Sawa shangaz
Ebu subilini kwanza
Mama usifanye ivo ebu tulia kwanza
Aliwataka wasubili
Tumaini ume mwambia
Mama aapana usifanye ivo
Nini icho kaka hasani aliuliza kwa kufoka
Ana mimba uyu dada ako yani iyo kazi apo mbele imeleta kazi ya kunyonyesha mizie nane kutka sasa
Eeeh kila mmoja aliitaamaki kwa staili yake
Kwem dogo
Shangazi alisogea nilipo pia kweli Tumaini una ujauzito wa mtoto wangu nambie
Niliitika kwa kichwa tuu lakini mimi siyo zaifu naweza kulea peke yangu
Tu siitaji kuwasumbua apana kwakua uyo ni mjukuu wangu tena ni wa kwanza ina bidi uwende na mimi Tumaini naitaji kukuudumia wewe na kijuukuu changu
Apo Abdul akutia neno kafula asila naisi ata ayo maswala ya mimba akusikia chezea maumivu ya kuachwa wewe
Apa yeye ana chakukataa itabidi mumsubilie baba yake jioni yeye ndo atakae toa majibu sahihi
Sawa nitasubilia
Walikaa mpaka jioni Abdul ajala wala kunywa yani alikua kimya tu alikaa nje ya nyumba uko
Tumaini mdogo wangu Nisamehe mimi maana leo kwajili yangu unapata matatizo yote aya
Amna shida kaka kwa sasa familia inashi poa kwajili ya dili ili na ichi kilicho tumboni ni matokeo ya kazi tu
Yani upo kwenye wakati mbaya lakini uwachi kutabasam wakati wotee nakupenda sana dogo uu mtiani nao utapita
Kabsa kaka lakini kwanini uliwaleta apa
Kosa la kwanza nililifanya ni kumpa madam namba yako ndo yote yakajili sikua na jins ilibidi tu niwalete maana walisha jua kua sisi ni ndugu
Sawa kaka ya lisha mwagika
Baba aliludi wakaongea kiutu uzima maan mie ata sikutaka kusikia nilibaki chumbani
Tumaini mwanangu itabidi uwende maana mama Abdul ameomba sana mwisho baba yako kakubali
Lakin mama nitaiweza je kukaa nyumba moja na Abdul wakati ana asila na mimi
Jitaid mwanangu kwajili ya shangazi yako wa mchongo ana onesha anaitaji zaidi uyo mjukuu aya lala kesho asubui safali ya zanzibar
Nilijalibu kulala lakini wapi usingizi auji jamani kama mwanzo tu ili kua tabu sasaivi nitaweza je kuishi nae wakati ana asila na mimi kuliko walionipa kazi
Jamani uwiiiiii
JE NINI KITAENDELEAAA
SIMULIZI HI IMEKAMILIKA MPK. MWISHO KABISA
LEO NDO LEO NAMWAGA OFAAA
KUIPATA YOTE NI 500 TU
NJO WHATSAPP 0755090082
UKIFIKA SEMA NATAKA OFAAAA YA KUMALIZIA SAFARI YA ZANZIBAR MPK MWISHO
