SAFARI YA ZANZIBAR Sehemu ya 20
WhatsApp 0755090082
Tusonge mbele......
Kuna wakati niliwaza au nitoloke lakin ninavo
Mjua baba yangu ata nipalazi ilibidi nikeshe tu mana usingzi uligoma kabisa nyie mawazo mabaya
Asubui niliandaliwa mizigo yangu na mama mwanangu ebu kaanze upya nakuomba ukiludi tena apa ni kwajili ya ndoa tu
Hee mama ndoa gan iyoo
Iyo iyo kwani uwoni kua Abdul ana kupenda
Mmmh mama kunipenda iyo vepe
Mjinga kweli wewe yani mama yangu ili neno mjina naisi ndo anaona kama ana niita Tumaini awezi kunambia kitu bila ya kuniita Mjinga
Yani wewe nikama nazi macho matatu na bado uwone
Aaaah sijali bana kama ananipenda au laaah atajua mwenyew
Aya sawa twende mda ndo uu
Tulianz safali mimi Abdul mama Abdul na kaka hasani
Ilichukua masaa atimae tulifika daah nimeludi tena kwenye mjengo jamani ya mungu mengi
Kalibu Tumaini jisie hulu kabsa
Abdul ata ham ya kuongea na mimi wala mama yake ana alikua kama bubu
Shangaz aliingiza mabegi yangu chumbani kwa Abdul
Heee shangazi ina maana nita kaa umu na Abdul
Ndiyo mbona kama una hofu naogopa shangazi maana ana asila na mimi
Amna lolote amekua zaifu kwako maana kama angekuwa na asila kama zamani angesha ondoka lakini yupo sebleni amekaa ina maanisha amechukia tu lakini ana hasila na wewe
Mmmh shangazi
Ebu tulia Tumaini unajua nakupenda bule maana ata sijui nini ulifanyia uyu kimbe wangu una jua Abdul anakupenda wew sana awezi kukufanya kitu
Shangazi Abdul ananipenda
Ndiyo we tulia tu utaelewa kilakitu mdogo mdogo
Shangazi alitoka na kuniacha nilianza kuangaza mach chumba kizima nilifanya usafi na kubadili kila kitu nikasogeza nguo za Abdul na kupanga zangu pia
Baada ya masaa ndo Abdul aliingia ndani
Alinitazama na kujitupa kitandani
Apo nilitegemea ange nifukuza chumbani kwake lakini aikua ivo
Abdul inabidi ukaoge kwanza
Kwani vip apa chumbani kwako mpaka unipagie cha kufanya eeh
Lakini
Lakini nini muongo mkubwa wewe uliiniingiza mimi katika mtego wako wa mapenzi na mwishe ni menasa una sema unipendi ivi unajua kama wewe ni mkatili sana Tumaini sikutegemea kabsa kama na wewe
Ungeutumia uzaifu wa mtu kupata pesa
Nimesha omba msamaha lakini
Unazani nilaisi ivyooee
Ivi maneno yote ayo ni kwajili ya kukuambia ukaoge tuu
Aliinuka na kuja nilipo unazani ni kwasababu iyo eeh
Kumbe nini mana nimechoka kuyasikia
Kwasababu nakupenda eeeh nakupenda sana na sijui kama kweli nina asila na wewe au vipi
Nilichoka heeeh kweli mie ni mjinga kama mama yangu anavo semaga yani nilikua natania tania lakini yeye kanipenda kweli
Kwanini upo kimya tuma unafulahia maumivu yangu sasa
Amna ebu wacha ii siku ipite maana naona ume nichanganya
Nilitoka na kumuacha chumbani yani kwa zile stres nikajikuta nimetoka mpaka gadeni
Aah mimi nae sijui nawaza nini sinilikua nataka kwenda jikoni
Nililudi jikoni nikamkuta jamani sasaivi itabidi tumuite mama mkwe bas nilikuta mama mkwe wang ana kalangiza lost la nyama nichakula nilichokua nakipenda mwanzoni lakini leo alufu yake ilinifanya nitapike
Nilitapika mpaka nikaishiwa nguvu
Abdul Abdul
Nam mam
Efanya alaka njoo
Kuna nini we njoo kwanza
Alikuja na kunikuta nimechoka na bado natapika
Jamani kilichotokea nyie uwiiiiii








JE NINI KITAENDELEAAA
SIMULIZI HI IMEKAMILIKA MPK. MWISHO KABISA
LEO NDO LEO NAMWAGA OFAAA
KUIPATA YOTE NI 500 TU
NJO WHATSAPP 0755090082
UKIFIKA SEMA NATAKA OFAAAA YA KUMALIZIA SAFARI YA ZANZIBAR MPK MWISHO
Comments
Post a Comment