SAFARI YA ZANZIBAR Sehemu ya 21



Page Bahari ya simulizi
WhatsApp 0755090082

Tusonge mbele......
Tuma nini tena mama imekua je tena

Ata mimi sijui ila naisi ni alufu ya nyama

Alipigia sim kaka
Alooh naomba umpitie doctor mipango uje nae sasaivi Tuma ayupo sawa

Alooh doctor jiandae atakufata hasani apo sasaivi

Subili kidogo msaada unakuja

Jamani nilitapika mpaka nyongo mama wawatu aliondo kila kitu akasafisha na kupuliza eya fleshi ndo apo nikatulia yani uyu mtoto ana kisilani cha babaake

Baada ya muda kaka na doctor walifika

Vipi dogo uko poa
Niko sawa kaka

Doctor alinicheki
Aaah uyu yupo sawa tu niali ya kawaida kwa mjamzito ikitokea kama kitu akipendi mpeni tu uji na kama maji anapenda bas atumie na maji mengi atapata nguvu aina aja ya dawa

Asante doctor
Usijali mr Abdul

Vip uko poa sasa
Ndiyo

Tumaini uko poa mwanangu
Ndiyo mama

Bas wacha nikuandalie uji

Sawa mama

Dogo kama uko poa mi naenda bas au siyo

Poa broo

Jamani mi naenda

Sikia hasani naomba unisamehe kwa Yote yalio pita
Amna shida ndugu nimesha sahau ayo

Asante kama umesahau na kusamehe na omba uludi kazini lasimi

Poa tutaonana kesho bas

Abdul alikuja kunibeba juju nakwambia mpaka chumbani kupendwa ndiyo uku sasa

Pumzika apo nitaenda kuchukua uji nikuletee

Lakini Asante kwakunijali

Usijali mimi sina moyo kama wako

Hee ndo unaniimba tena kwani si ya mepita ivi bila ya kufanya iyo kazi unge nijulia wapi na wewe ebu samehe bas kaah

Sawa iyo ndo sababu ya sisi kujuana ila ungenambia labda

Mmmh kwa ninavo kujua ungejua na kilakitu kingeisha apo apo ni bola ata ukujua

Aya bana mjanja wewe

Ilipita miezi kazaa apo Abdul akawa jentro men wa ukweli na kwambia japo ndoivo ana asila na mimi ila ananipenda bwana maana ananidekeza mpaka na mimi naisi nimeanza kumpenda penda

Sikuiyo tulikua na mama mkwe wangu ananikanda kanda miguu maana imekua ina vimba mala kwa mala

Sim yake iliita akupokea ilikua ni namba isiyo seviwa

Mama mbona upokei sim

Unajua ninani uyu ni baba Abdul amesha sikia kua Abdul ana mwanamke tena aitoshi ni mjamzito bas apo ndo anapiga sim wiki yote ii wala sipokei

Wakat tunaongea mlango uligogwa
Nitaka kwenda lakini mama mkwe alienda yeye

Alifungua mlango
Heee wewe

Ndiyo naomba tuongee kidogo naidi sitachukua muda wako mwingi

Aliingia na mie nikataka kuwapisha

Apana bint kaa tu

Alichukua sim na kupiga
Aloo ee ingiene

Dakika ukoo uwo ilikua ni nusu ya familia ya yule mbaba
Mpaka mama mkwe aka shangaa

Mbona wote mupo apa he!! " ðŸ˜³ðŸ˜³ðŸ˜³

😜😜#everyone

JE NINI KITAENDELEAAA
SIMULIZI HI IMEKAMILIKA MPK. MWISHO KABISA
LEO NDO LEO NAMWAGA OFAAA
KUIPATA YOTE NI 500 TU
NJO WHATSAPP 0755090082
UKIFIKA SEMA NATAKA OFAAAA YA KUMALIZIA SAFARI YA ZANZIBAR MPK MWISHO

Comments

Popular posts from this blog

Chombezo : Huruma Ya Dudu Sehemu Ya : Pili (2)

Leyla binti bikra -01

SEHEMU YA 06---10