Page Bahari ya simulizi
WhatsApp 0755090082
Sehemu ya 15
Basi miaka ikaendea, siku hio madam dhahara akanambioa kuwa jumamos ya wiki hio anaenda kwenye graduation, alikuwa na adabu sana, mpaka nikawa na wasiwasi kuwa akijua mimi ni nani, je ataendelea kuniheshimu kama anavyoniheshimu sasa…
Ingawa nilikuwa mbali, na sikuwa naweza hata kumuona lakin hakuwa anaweza kwenda sehemu bila kuniaga, hakuwa anaweza kufanya jambo bila kunishirikisha, alikuwa tofauti sana na ex wangu, kwa maana upole na heshima yake kwangu ndio ilizidi kabisa kunivuruga kwa maana nilikuwa najihisi mwanaume kwake, nilikuwa nauhisi uanaume wangu kila nikiongea nae, mpaka kuna muda nikawa najihisi kama nimekuwa mbaba flani hivi kwa dhahara kutoka na heshima yake kwangu, hata ule wasiwasi wangu wa kuwa madam ni mkubwa kuliko mimi sikuwa nao, kwa maana alinikuza, alinitukuza na kuniheshimu mno…
Swala la pesa halikuwa tatizo kabisa kwagu, kuna namna ambayo huwa natuma pesa, nikawa nataka apendeze sana kwenye hio graduation, ili watu wajue kuwa anahudumiwa na wamuogope kutokana na maisha ya juu anaiyoishi, ila sikumuuliza ni graduation ya nani, mwisho ikabidi yeye ndio asema sasa, “ mbona haujajiuliza ni gradiation ya nani cha mawivu wangu, au unajua ninapoenda? Akauliza….
Ni kweli sikuwa najua hata ni graduation ya nani, ila sijui hata kwann nilikuwa na amani kiasi kile....
Ila kwakuwa sikutaka kumkera mwanamke wangu, na sikutaka ahisi mabadiliko yangu , kwa maana huwa nina wivu sana, na mar azote natamanigi hata kuwa niwe soli ya kiatu chake, kwa maana alipo niwepo, na sio tofaut na hapo……
“ haya mrembo wangu unaenda kwenye graduation ya nani? Nikauliza…
“unakumbuka kuwa nilishwah kukuamb ia kuna familia ya wahindi nimefanya nao kazi sana, kwa maana walikuwaga na kijana wao, alikuwa kijana mwema sana, nilianza kumfundisha tution yeye, kwa maana wakat huo alikuwa kijana mdogo tena mwenye nidhamu sana, na hajawah kunivunjia heshima hata mara moja, ila alivyokuwa anakuwa, kuna muda nikawa nahiusi kjama ananitaka , kutokana na namna ambavyo alikuwa ananiangalia san, ila nikawa namkatia juu juu, kwa maana niliona kama mimi na yeye ni vitu viwiki tofauti, kwa maana kwanza alikuwa mdogo sana kwangu, na pili alikuwa ni muhindi, na kwa namna ninavyojua wale watu weupe ni ngumu sana kuoa mwanamke wa aina nyigine, sasa huyio kijana alikuwa anaitwa shakti ana mdogo wake ambae pia ni mwanafunzi wangu, anaitwa Sandra …..
Maneno yake ni kama yalinivunja nguvu kidog, ule uhakika wa kuwa ninaweza kuwa nae ulianza kupungua, nilibadilika mpaka akashangaa, ikabidi aniulize kuwa “ bilal wangu upo sawa?..
“ ndio dhahara nipo sawa, nikajibu kisha nikamuaga, baada ya kuagana nae, nikawa nawaza sana siku ambayo dhahara atajua mimi ni nani , ila nikawa najpa moyo kuwa, mungu anakusudi na mimi, kwa maana mpaka sasa dhahara amenikubali, basi kuna uwezekano hata akanikubali hata akijua, kwa maana mungu ndio mpangaji wa kila kitu, nikaona niachane na mawazo ya dhahara atanichuliaje akijua ukweli kisha nikampigia simu Sandra kwa maana alikuwa na simu, nikamuambia kuwa awe ananitumia picha zake za graduation, nikiwa na uhakika kuwa kuna baadhib ya picha atapiga na dhahara, kwa maana nilijua nikimuamba dhahara mwenyewe picha zake ni lazima nay eye ataomba zangu…..
JE NINI KITAENDELEAAA!! "
OFAA LEO NA MWAGA OFAA SEASON ZOTE MBILI MPK MWISHO KABISA KWA 1000 TU
WAHI WHATSAPP 0755090082 UKIFIKA WHSTAPP SEMA NAOMBA OFAAA YA SEASON ZOTE MBILI KWA 1000 NITAKUTUMIA
