MADAM WA TUTION - Sehemu ya 16

Simulizi master
0



Page Bahari ya simulizi
WhatsApp 0755090082


Sandra aka
kubali, basi mida ikaenda kweli Sandra akanitumia picha yaan ni kama alijua kuwa nilikuwa nataka picha za dhahara tu, kwa maana hata hakunitumia picha zake na sikuuliza, kwa maana nilikuwa kweli na shida na picha za dhahara, huyo sandra najua nikitaka picha zake nitazipatu tu, sasa nilivyo na mawivu yangu sasa, kuna picha niliona kuna mwanaume ambae sikuwa namjua,ilikuwa picha ya huyo mwanaume amekaa na dhahara pamoja na Sandra, na dhahara na huyo mwanaume wanaangaliana na wanatabasamu, na picha nyingine huyo mwanaume akawa amemshika bega dhahara wangu, na dhahara alikuwa amependeza kinyama, nilikosa kabisa utulivu, nilikuwa nataman kupasuka kwa wivu, yaan nilihisi kuwa dhahara wangu hatakiwi kuguswa na mwanaume yoyote Yule zaidi yangu, nilitaka kuuliza Yule mwanaume ni nani kwa maana niliona kama anataka kunipokonya dhahara wangu, ila sikuwa na mtu wa kumuulixa, najua ningeuliza huyo mwanaume ni nani kwa Sandra angeanza maswali yake, na sikuwa tayar kujieleza, nikimuuliza dhahara huyo mwanaume aliepiga nae picha atashangaa, kwa maana atauliza n mwanaume yupi, na wakat anajua sina ninaemjua katika watu wanaomzunguka, nikabaki sina raha, na mbaya zaidi kila nikimuangalia dhahara online simuoni, yaan nilikuwa nahisi kupasuka kwa wivu kwa maana sikuwa namuamin mtu yoyote kwa dhahara wangu….


Siku hio niliishi kwa mateso sana, mpaka nikajuta ni kwa nini niliomba zile picha, nilishinda naangalia dhahara anakuja online saa ngapi, kwa maana sikuwa na raha kabisa, na vile ibilisi alikuwa anataka niteseke, siku hio hakuja online kabisa, nilishindwa kula, nilishindwa kulala, muda wote naangalia simu tu, yaan nilikuwa nahisi kuchanganyikiwa kabisa, nikawa nahisi Yule mwanaume ameenda kumkula dhahara wangu, nilianza kuwaza upuuzi, nikahisi nikiendelea kukaa ndani naweza nikaanza kufaya upuuzi..

Nikaenda kwa Yule best yangu, ilikuwa ni nyumba ya pemben yangu, nilikuwa kama nimevurugwa, aliona kama sipo sawa, akanifata na kuniuliza shida ni nini?............

“ ety bro naomba niambie ukweli usinifiche, hivi inawezekana kweli, uwe na mahusiano na mtu alafu akakuambia anaenda sehemu na siku nzima asipatikane?, au inawezekana ukatumia picha za mtu za mwanamke wako anaangaliana na mwanaume mwingine kimahaba kabisa, embu nambie haya yanawezekana kweli?...

“ embu nambie kuna nini kimetokea, akaniuliza…
Nikatoa simu yangu na kumuonesha picha zile nilizotumiwa na Sandra, na kumuambia dhahara ni yupi nay ale maponzi ambayo wamewekeana ni sawa kweli…

Yule rafiki yangu aliniangalia kisha akaanza kucheka , na kusema “ embu waangalie hawa watu wawili huoni kama wamefanana, yaan wewe unawaza tu kusalitiwa, mimi nahisi huyu kijana ni kama ndg wa huyu mwanamke wako, na kwa muonekano anaonekana hata ni mdogo kwake, akasema Yule rafiki yangu…
“ mdogo anaudogo gani huyo, mbona mimi ni mdogo kwa dhahara na ninampenda mno, kwani vijana wadogo ndio hawana moyo, haya kama n ndg yake ni kwanini mpaka sasa hivi awe hapatikani, kwamba ndi ameenda sehemu na huyo unaesema ndg yake wanamaliza, au kwakuwa wote ni weusi unahisi ndio ndg, nikaanza kulalamika…

“ embu mpe udhuru huyo mwanamke huenda kuna jambo hata limemkuta, acha hayo mashaka na wasiwasi wako, kwa maana unaharibu mwenyewe kila kitu, na anaonekana kabisa huyo mwanaume ni mdogo kabisa, sidhan kama ni mpenzi wake, akasema huyo kijana
“ kwa hio kama akiwa mdogo akiingiza ndio haiingii, nikawa nalalamika, na kuona kama anazidi kunichanganya tu, nikanyanyuka na kuondoka, kwa maana sikuona kama anakitu cha kunishauri…………

JE NINI KITAENDELEAAA!! "
OFAA LEO NA MWAGA OFAA SEASON ZOTE MBILI MPK MWISHO KABISA KWA 1000 TU

WAHI WHATSAPP 0755090082 UKIFIKA WHSTAPP SEMA NAOMBA OFAAA YA SEASON ZOTE MBILI KWA 1000 NITAKUTUMIA
Tags

Post a Comment

0 Comments
Post a Comment (0)

Made with Love by

Pixy Newspaper 11 Template is Designed Theme for Giving Enhanced look Various Features are availabl…
To Top