MADAM WA TUTION - Sehemu ya 18 na 19

😘😘😜πŸ₯°πŸ˜
Page  Bahari ya simulizi 
WhatsApp 0755090082


“ umeshanisimuliaga sana kuhusu taarifa zake, nahisi atakuwa anakuheshimu sana kama  dada yake, nikasema ila nilimiss hata kulifill lile joto lake, na nikawa namsisitiza kuwa ahakikishe kuwa anapiga nae picha na anitumie…
“ ila ni handsome sana alafu yuko romantic sana, kweli upo tayar, akasema dhahara, nikajikuta nacheka, nikasema sawa  hamna shida, mm mwanaume kama unamuongelea sana sinaga shida, shida ni hawa ambao sijawah kuwasikia ukiwataja alafu wawe karibu yako, naona kabisa nataka kuibiwa mali yangu, nikasema na dhahara   akacheka kisha akasema “ alafu nahisi kama kale katoto kananitaka…

Aiseee nilicheka sana kisha nikajikuta nimeropoka kuwa “ usikute na ameshakupata kwa maana hii dunia sio yetu bana…
 Dhahara alicheka sana kisha akasema ‘ usikute hata ni wewe kwa maana hata sijawah kukuona alafu sauti zenu kuna muda zinaendana endana, alafu na vile  hautaki kunitumia picha ni wewe bana, akasema madam dhahara …

‘ ewaaa sikuwa najua kama una akili ya kujiongeza kiasi hicho, ulisema Yule kijana anaitwa nani? Nikajifanya nauliza…
“ anaitwa Shakti akajibu madam…
“ ewaaa mimi ndio Shakti, toto la kihindi ambae nimezimika kwa madam wangu wa tution, kwani kuna shido, nikasema na dhahara akawa anacheka na kuchukulia kila kitu kama utani, kumbe  ni utani unaofanana na ukweli….

Basi nikamuacha dhahara ajiandae  maana nilikuwa na hamu ya kumuona sana, yaan nilishkuru sana kwa mdogo wangu kumualika, maana mimi mwenyewe nilitaman kumualika ila sikujua hata natakiwa kumuambia je, kwa maana bado nilikuwa na wasiwasi iklitokea siku akijua ukweli…..

Basi siku hio nilikuwa nimeshinda getini nasubiri kumuona dhahara wangu, kwa maana nilikuwa nimemmiss sio utani na nilikuwa nataman kumuona mno….

Kweli kwenye majira ya saa kumi na moja alikuja, alikuwa amevaa stara, kwa maana alivaa abaya na juba kabisa, ila hako kasura kake, aliweka kipini na lipstic flani hivi, yaan nilipomuona nilitaman kumfata na kumkumbatia kwa maana kwanza nilikuwa nimemmiss sana, na pili alikuwa kapendeza mno, kiasi kwamba sikuwa naweza hata kuyasogeza macho yangu pemben na alipo…

Nilikuwa namuangalia mpaka nikaona anaona aibu,  ila akaja mpaka nilipo na kunisalimia, yaan nilikuwa najiskia vzr sana, kwa maana nilikuwa nataman hata nimkiss, maana muda  wote alipokua anaongea na mimi nilikuwa nakagua lips zake,  yaan   nilikuwa nataman nimnyanyue  nikamtupe kitandani nianze kumshulikia, nilikuwa nina hisia mpaka nikahisi kuwa zinakaribia kumwagika, nilikaa nae pale, nikawa najisikia vzr mara mambo yangu yakaanza kuharibika…

Nikaomba niende washroom mara  moja, yaan ni full mateso kwa  maana nilikuwa  nateseka mwenyewe na mwenzangu hata hana anachojua, nikajichukulia sheria mkononi kisha nikarudi kuendelea kukaa kwenye party, yaan yalikuwa ni mateso bila chuki, ila bado macho yangu yaligoma kuangalia pengine tofauti na alipo  dhahara,  kuna baadhi ya wanaume walikuwa wanamuangalia nilikuwa nahisi kupasuka kwa wivu….

Basi muda ukaenda, ila hata mm niliekuwa nafanyiwa party sikuwa nimechangamka na muda wote nilikuwa nachunga chombo change, mida ilienda ilifika saa tatu usiku, na party ndio ilikuwa imechanganyia, dhahara alikuja mpaka nilipo na kuomba kupiga na mimi picha, nilikuwa  najisikia vzr sana, kwa maana nilijua kuwa hizo picha alikuwa ananitumia mimi mwenyewe so nikamsogelea na kuweka pozi vzr, ila kila nilipotaka kumgusa alikuwa anasogea, kana kwamba hakuwa anataka ujinga, nikawa najiambia sasa hapa nimepata mwanamke sasa…

Baada ya kupiga picha akawa anataka kuondoka, nikaomba nimpeleke nyumban ila hata hakutaka, nikajaribu kumuuliza kwann na wakat yeye ni mtu mzima…
Dhahara akatabasamu kisha akasema “ nina mahusianon Shakti na sipendi kumkera  mwanaume wangu, so plz naomba niondoke, yaan mpaka nikajikuta natabasamu na kuona hapa sasa nimepata mke……

NAKUJA…………..

MADAM WA TUTION 
Page bahari ya simulizi 
WhatsApp 0755090082
Sehemu ya 19

Basi dhahara akawa anaondoka ila ni kama alikuwa na wasiwasi sana, nikajua ni lazima atakuwa na wasiwasi wa kunikera, yaan akiwa anaondoka nilikuwa namuangalia alafu natabasamu, yaan ni nani ambae amebahatika kupata mwanamke kama dhahara wangu, nilikuwa najiona kama mwanaume mwenye bahat sana, ila sikujua hata nitamkabili viupi, na tayar anajua nimerudi nchini so anajua baada ya siku chache natakiwa kwenda kuonana nae, na sitaweza kukwepa hilo, hilo jambo lilikuwa linanipa mawazo sana, kwa maana sikuwa najua hata natakiwa kufanya nn…..

Basi nikarudi zangu ndani, hapo muda wote natabasamu tu, nikawasha data nikakuta dhahara  kanitumia picha alizopiga na mimi, kisha akawa analalamika kwanini sipo online, na anataka nimpe namba yangu ya Tanzania, na wakat namba yangu yenyewe anayo, ila ndio hivyo hajui kama ni mimi, akanambia namna party ilivyokuwa nzuri, namna Shakti alivyokuwa na namna ambavyo anaonekana handsome zaidi, akanitania na kusema “ yaan  Shakti alivyokuwa handsome mpaka nikataman nikusahau kwa muda na niwe nae, akijua kuwa atanipa wivu ila alikuwa ananifanya nijisikia vzr  sana, kisha nikamjibu “ ungebaki nae tu, kwa kuwa huyo ni mwanafunzi wako hawez nizidi mahesabu na naamin kuwa hata ukimkubali naweza kukubali kuwa na mume mwenzangu, nikajibu na dhahara akacheka sana…

Sasa party ikawa inaendelea pale, baba yangu akawa ananipongeza, mwisho akasema kuwa  nataman  useme chochote kile na mimi kama baba yako nitakutimizia…
Nikaangalia chini kisha nikachukua  mic nakusema “ sihitaji chochote zaidi ya kwenda kuniposea baba, nataka kuoa …

Watu walishangalia, na wazaz wa Yule ex wangu walikuwa pale, na walikuwa wanayajua mahusiano yetu wakajua kuwa nataka kumuoa bint yao, kumbe nilikuwa nayangu, nilikuwa namtaka zangu dhahara wangu na sio hao mabint wa kihindi wanaoshinda saloon na wanashinda  wakipaka hina, hawajui hata kuchemsha chai, sikuwa nataka kabisa, mwanamke pekee ambae alikuwa yupo kwenye akili na fikra zangu alikuwa ni dhahara…

Nilipotoka pale mdogo wangu sandra akanifata kisha akanambia “ unataka kumuoa dhahara?...
Nilishtuka sana kisha nikamuuliza amejuaje ?
“ kuna siku madam alikuwa ananiuliza namba  kuwa ni ya nchi gani, nikashangaa ni namba yako,  nikamuuliza kwann, akanambia kuna mwanaume anamtaka wa hio nchi nikajua kuwa ni wewe, maana nilikuwa nakuona mara kadhaa ukiwa unamuangalia kwa matamanio sana, najua unampenda dhahara, na ndio maana nilimtaka aje kwenye graduation na kumsogeza karibu ya familia, na hata leo nimemualika kwaajili yako, akasema Sandra mpaka nikamfata na kumkumbatia kwa maana sikujua kama anajua kama mm nampenda madam dhahara, nilipoona kuna mtu amenielewa nikaona  nimueleze kila kitu, kwa maana nilikuwa nahisi kama mzigo unanielemea kwa maana sikuwa na  mtu wa kumuambia….

“ Sandra mamaaa, mm nampenda sana dhahara, na yeye ndio mwanamke ambae nataka kumuoa kwa kweli, ila tatizo   ni kuwa Napata shida kidogo kwa maana  dhahara hajui hata kama mimi ndio huyo mwanaume anaempenda, naogopa kumuambia kuwa ni mimi, natyeseka sana mdogo wangu, maana nina wasiwasi kuwa anaweza asinikubali,  maana mpaka sasa ananipenda sana na hilo nina uhakika nae , ila nina mashaka  akijua kama ni mimi je atanipenda, nisaidie Sandra maana nahisi kuchanganyikiwa, nikawa nasema …..
Sandra akashusha pumzi kisha akasema “ usijal nipo na wewe na ninauhakika kwa uwezo wa mungu utampata, yaan mpaka nilijisikia vzr, kumpata mtu wa kwanza ambae yupo upande wangu…

JE NINI KITAENDELEAAA!! "
OFAA LEO NA MWAGA OFAA SEASON ZOTE MBILI MPK MWISHO KABISA KWA 1000 TU 

WAHI WHATSAPP 0755090082 UKIFIKA WHSTAPP SEMA NAOMBA OFAAA YA SEASON ZOTE MBILI KWA 1000 NITAKUTUMIA

Comments

Popular posts from this blog

Chombezo : Huruma Ya Dudu Sehemu Ya : Pili (2)

Leyla binti bikra -01

SEHEMU YA 06---10