PATRICK UMEKUJA BAFUNI TENA -1

Simulizi master
0

 

Sehemu ya kwanza.


Angel sio vizuri unavyofanya umemkatalia kaka wa watu kuongeza unga umpe ugali.

" Amina wewe ujui tu mume wangu alivyo mkari ivi ningepokea alafu wakati napakua mume wangu karudi anaona Sahani mbili zina ugali akiniuliza namjibu nini?

" Mumeo na PATRICK ni marafiki wakubwa sana wewe Ushangai kwanini PATRICK kaja kukuomba wewe ajaniomba mimi tokea nihamie hapa namuona Patrick na mumeo wapo karibu sana.

" Mimi mume wangu ajaniambia mengi juu ya PATRICK kama akitaka ugali nimpe.

" Basi nakushauri hili mshirikishe mumeo hili Kesho ikitokea upokee unga wa PATRICK.

" Sawa.

( Ni maongezi walikuwa wanaongea wapangaji wa kwenye mjengo mmoja upo kongowe dar salam....anjel anampenda sana mumewe ataki afanye jambo litakuja kuleta sitofahamu kati yake na mumewe...anjel alimsubili mumewe ambaye anaitwa joji white langi ya pesa....akamwambia)

" Mume wangu Samahani mchana PATRICK alikuja na unga aliomba aongeze kwangu nikipika nimchote ugali ila mimi nimekataa sasa mpangaji mwenzangu amina amenisema sikufanya vizuri wewe na PATRICK ni marafiki wakubwa.

" Tena wakubwa sana mimi na PATRICK tunatoka mkoa mmoja kwa kukosea umekosea ila sio sana acha nimwambie kuwa siku akiwa nyumbani Akupe tu unga au mchele awe free.

" Sawa.

" Unajua mke wangu kabla ujaja nilikuwa napika nae hapa PATRICK tunatoa zetu dongo mambo yanaenda.

" Sasa mbona yeye aoi?

" Hapo sasa siwezi kujibu.

( Joji akatoka ndani akaenda ghetto la PATRICK akugonga mlango yani kama kwake vile wanaishi kwa upendo)

" Oya mwamba vipi mbona umelala.

" Naumwa joji toka mchana sipo Poa nilimuomba Shemeji anisonge ugali nipate nguvu ya kumeza dawa ila naona amenitolea nje.

" Pole sikumpanga ila ushakula?

" Bado.

" Jiko si lipo Fresh aje akusonge ugali chap.

" Lipo fresh nimejaza juzi tu.

" Poa.

( Joji anamwita sasa mkewe aje ampikie PATRICK wakati mke anapika joji akaenda magengeni kununua mboga uku anjel anaomba msamaha)

" Nisamehe Shemeji.

" Nishakusamehe upo sahihi.

" Shemeji tv yako kubwa umenunua Shilingi ngapi?

" Nimesahau nimenunua Muda sana.

" Yani nzuri picha unaona kubwa nitamwambia joji anunue kubwa kama hii.

" Sio vizuri kumwambia yeye mwenyewe anajua kuna siku atanunua.

" Poa Shemeji vipi nikusonge ugali mgumu au laini.

" Mgumu.

( Joji akarudi amebeba samaki akampa PATRICK)

" Oya utahishi humu.

" Poa ndugu.

" Alafu Tabia ya kutembea na funguo uwache Shemeji yako yupo mpe funguo sio kila siku unavunja mlango.

" Aina noma ndugu yangu.

" Anjel uyu ni rafiki yangu sana unajua sana Kwaiyo akikwambia sijui Akupe unga sijui mchele wewe pokea Mpikie ale.

" Sawa.

( Walitoka wakarudi chumbani kwao...asubuhi PATRICK akaondoka funguo kaacha kwa Shemeji yake....joji na yeye akaondoka...sasa anjel akamwambia amina)

" Jana nimemwambia mume wangu kama ulivyoniambia.

" Ikawaje.

" Mbona nilienda kusonga ugali usiku ule kwa PATRICK.

" Nilikwambia marafiki hawa.

" Leo kanipa funguo PATRICK ya chumbani kwake.

" Twende basi tukaangalie moves.

" Amina unanichekesha ata usafi atujafanya tuingie chumbani kwa PATRICK.

" Tena umenikumbusha vyombo uliosha ulivyompikia.

" Nilimuacha anakula.

" Aya twende tukachukue vyombo.

" Aya kama ivyo vyombo vingi twende.

( Walienda wakaingia chumbani kwa PATRICK amina akakaa kwenye sofa akamwambia anjel)

" Mimi kwa sababu tu nimeolewa ila PATRICK.

" Ana nini?

" Tuache tu wewe niwashie tv niangalie.

" Washa mwenyewe wewe mwenzangu kazi umemaliza naona angalia TV mimi acha nikafanye kazi kwanza nioshe vyombo alafu nakuja tuangalie wote.

" Sawa.

( Amina akabaki peke yake chumbani kwa PATRICK sasa akaweka mziki mzuka ukampanda akawa anacheza kuna ya daimond kafunga kanga kiunoni kainama anakatika uno mdogo mdogo.....kumbe PATRICK na yeye karudi kaona mlango umesindikwa alafu anamuona Shemeji yake anaosha vyombo vyake...anjel ajamuona PATRICK....sasa PATRICK anaingia ndani ndio anaona amina anakatika uno tena kipande kile cha daimond anaimba)

🎵 NYIE WANA DAR SALAMA ACHENI UMBUMBU SHART KUINAMA UKITAKA CHA UVUNGU MBONA WAPATA BWANA ALAF UMPI MKU....NAOMBENI BARUA YANGU.

( PATRICK udenda unamtoka amina ajui analikata uno uku amegusa matuta yake anayachezesha....simu ya PATRICK ikaita amina ndio anageuka anakutana na PATRICK macho kwa macho)

" Endelea kucheza unajua kweli amina kucheza..

ITAENDELEA
AMINA ATAJIBU NINI?
USIKOSE EPISODE INAYOFATA....
SIMULIZI IPO FULL MTUNZI JOGOO POLL...

Tsh 1000
Namba ya malipo ni 0781858056
Jina Anjela

Tags

Post a Comment

0 Comments
Post a Comment (0)

Made with Love by

Pixy Newspaper 11 Template is Designed Theme for Giving Enhanced look Various Features are availabl…
To Top