" PATRICK jamani naona aibu mwenzio.
" Samahani nimeingia bila Hodi.
" Jamani unapigaje hodi chumbani kwako.
( Mala anjel anaingia kuleta vyombo alivyoosha anjel akashangaa tu kumuona PATRICK ndani)
" Shem umepitia wapi?
" Nimepita hapo hapo nje nimeona umejiinamia kusugua sufulia.
" Poa nilikuwa naosha vikae kwenye usafi.
" Poa mimi naenda zangu nilikuja mala moja kuchukua kibegi ichi cha mazoezi.
" Sawa.
( Amina akadakia)
" PATRICK auna nguo chafu nikufulie nimemisi kufua nguo za mwanaume.
" Wewe mke wa mtu sio vizuri kufua akija mumeo atanichukulia tofauti.
" PATRICK ilo usijari mume wangu amesafili naomba nikufulie.
" Shemeji unamsikia nisije kupigwa.
" Shem wewe mpe si kataka mwenyewe kufua.
( PATRICK akampa mashuka na baazi ya nguo alafu akaondoka....amina alifua vizuri kabisa akamaliza akaingia jikoni kupika alimuwekea chakula mezani PATRICK hapo ndio anjel akamwambia amina)
" Uwe makini unajua unayoyafanya ni kama mtu na mpenzi wake vile.
" Nipo makini ila PATRICK ajui tu nampenda sana nilikuwa siwezi kumzoea tu.
" Aya.
" Anjel usije kumwambia joji aya unajua aya ya kike tena.
" Siwezi naanzaje sasa.
" Poa.
( Upande wa PATRICK akawa anawaza yale mauno uku anasema kimoyoni...mumewe anafaidi kweli na ule mzigo....akatoka mazoezini akapita kijiweni kidogo)
" PATRICK naona unakata mwili.
" Juma wewe umeona kukata mwili tu sio kuweka afya Sawa napenda sana mazoezi.
" PATRICK kwenu kuna chuma kimoja kimetoka nimekiona leo Leo asubuhi ana kalio flani ivi alafu katoka na kipensi.
" Oya mke wa joji yule.
" Joji uyu uyu white langi ya pesa.
" Ndio.
" Kakitoa wapi chuma kile kimekaa vizuri kweli kwa matumizi ya kitandani.
" Acha tamaa juma nimekwambia mke wa joji usingeongeza neno maana ushamjua kuwa ni Shemeji yako.
" Poa ila dah mtoto mkari sana.
" Poa baadae.
( PATRICK anarudi kwake uku anaona juma ni mweu sana anamtamani Shemeji yake...anafika Kwake anamkuta amina yupo chumbani ananyosha nguo za PATRICK zile alizofua...PATRICK ajawai kunyosha nguo zake tokea amalize shule akamwambia amina)
" Dah Kesho navaa shati limepigwa pasi watu watanishangaa maana sijanyosha nguo kitambo sana.
" Usijali sasa ivi utakuwa unavaa zilizonyoshwa.
" Nitavaa siku mbili tatu akiludi Mumeo basi tena.
" Kwanini iwe basi.
" Nitakuwa kama anayeishi anategemea uji wa mgonjwa.
" PATRICK kwanini unasema ivyo.
" Anayetegemea uji wa mgonjwa ndio aishi basi atakuwa na aya mgonjwa akipona yeye kafa njaa na mgonjwa akifa na yeye anakufa.
" Mbona sikuelewi.
" ngoja kwanza nasikia harufu ya wali nazi.
" Nimekupikia.
" Amina mbona umeniweza ugonjwa wangu huu umetumia ghalama za shilingi ngapi?
" Wala usijari wewe kula tu.
( PATRICK anaenda kuchukua maji anawe amina anamkataza)
" PATRICK nimeanda chakula nashindwaje kukuandalia maji usiende kuchukua maji nakuletea.
" Wewe si unanyosha nguo nisikusumbue.
" Wala unisumbui.
( PATRICK akatulia akaletewa maji akanawishwa akala akamaliza...akanawishwa tena...vyombo vikatolewa...usiku umeingia amina akatandika shuka kitandani kwa PATRICK alafu anamuuliza PATRICK)
" Unajua PATRICK mtu akipika lazima aonje.
" Najua ilo.
" Sasa mimi nimetandika shuka naomba nipande kitandani nilale kidogo.
" Sio vizuri Shemeji yangu ataanza kuisi sisi ni wapenzi.
" Sasa PATRICK ilo linakutisha.
" Wewe mke wa mtu.
" Kwanza kalala Muda mlefu anasema tumbo linamuuma na wala ajui kama mimi nipo ndani uku.
" Funguo si amekupa yeye.
" Maumivu ya tumbo yote amesahau yule naomba nilale au PATRICK utaki nilale kitandani kwako.
" Nataka ila sasa unanipa mtihani wewe mke wa mtu.
" Mimi najijua mke wa mtu wewe nipe ruxsa nilale.
" Poa lala.
" Kafunge mlango basi tuje tulale wote na wewe PATRICK ujiongezi kama ujasoma Cuba vile.
" Tukilala wote kinaweza kikatokea kitendo sio mimi najijua nina Muda sijapata kitu roho inapenda.
" Na mimi nina Muda kumbe wasakanao wamekutana PATRICK kafunge mlango jamani.
( Amina anapanda kitandani sketi kaikunja anatanua mguu ndio anapanda ivyo mapaja nje PATRICK udenda unamtoka akili ikahama anaenda kufunga mlango mwenyewe na kichwani usemi wake liwalo na liwe)
" PATRICK kafunge alaka jamani uje kula..
ITAENDELEA
Soma mpaka mwisho kwa sh 1000
Namba ya malipo 0781958056
Mtandao Airtel, jina la Mpokeaji ni Angela
Ukishatuma nicheki WhatsApp nikutumie uburudike
