Sehemu ya 2
Page full mastory
Tulipoishia mchana...
Nikaona nitoke nikaingia jikoni nikawaza itakuwaje? Basi nikamsikia mamdogo anaongea na simu akisema nitamtoa kwa njia yeyote mbwa huyu namdekeza sana mpaka najisikia nimmeze ila dah kajua kunifedhehesha poa nitakuja kisha akaniita cay nikaenda akasema sasa mimi natoka akikisha T hatoki humu mi namfungia nikaitikia sawa akatoka sikujua kaenda wapi kwakuwa alikuwa kamfungia mimi nikawa bize na jikoni mama T alirudi na kusema chukua chipsi hizo kalale nikasema asante nikachukua nakuingia kwenye kachumba kangu..
sikujua nini kiliendelea ila usiku wa saa nne nilikuja kuamshwa na mama mdogo akisema kesho shule hamtaenda nishawaombea ruhusa nikasema sawa kweli kesho tulishinda nyumbani sikuuliza chochote wala sikuambiwa chochote mda wa mchana walikuja born to shine nyumbani ile wanaingia mama T aliwafukuza kama waizi uku akisema siwataki kuwaona na T..
Basi waliondoka huku wakicheka kisha mama T akauliza we kuku wenzio wanajua una mimba akajibu hapana kisha mama T akasema ivi kond@m uwa hamzioni mimi nilikuwa kimya akasema na wewe ushawajua wanaume nikasema hapana kisha akaendelea T mbwa wewe sasa jitunze hiyo ishatoka kuwa makini tumia kond@m..
Mimi nikasema "mama hapana mwambie mda bado asijichanganye wee nilipigwa kofi mpaka niliona giza akasema shetani wewe unanifundisha mimi kione sura ka muosha maiti..
nikasema samahani mama angu sikuwa na maana mbaya nisamehe akasema toka uko unajiona malaika kenge mfu wewe basi nikatoka nikaenda nje sikutaka kuzidi kubishana nae niliogopa kupigwa nikiwa nje kuna gari lilisimama na kuita pssss sikugeuka akashuka mkaka smart na kusema cay nikasema unanifahamu akasema yaaa vipi T yupo mbona nampigia hapokei nikasema T mbona hana simu akasema nijibu yupo nikasema yupo akasema kaniitie nikasema samahani sitaweza akanibembeleza sana nikasema hapana kisha nikaingia ndani nikakutana na mama T...
Nikasema mama kuna mtu nje sijajua ana shida gani akasema yupo wapi nikasema nje mama akatoka nikashangaa anaingia na yule kaka uku akijichekesha na kusema we cay mwite T nikasema sawa nikamwita
"we T unaitwa na mama kisha nikaendelea na mambo yangu sikutaka kujua wanaongea nini nikashangaa mama T anasema ole wako ufanye ujinga tena nitakuchinja kisha akamwambia mwanae "Cay mpikie supu ya kuku mwenzio nikasema kuku yupo wapi akasema nenda kanunue ya kienyeji akanipa elfu kumi na mbili nikatoka na kuelekea sokoni kumbe yule kaka alikuwa bado ajaondoka akanipigia honi nikajua labda njia ndogo nikakaa pembeni aliponifikia akasimamisha gari na kusema cay nisikilize...
Unataka nini akasema ingia tuongee kidogo nikasema siwezi akasema sikia yule dada ako katoa mimba nikasema sijui dada gani unaemuongelea akasema T nikasema kafanyaje?..
Akasema ok najua umefichwa ila sikia naomba mwambie hasinitafute nikasema we kaka bhana unanichekesha ujue nitaanzaje mimi kumwambia umeshindwa kumwambia mwenyewe akasema Cay unaonekana ni msichana mstarabu nimependa ujasiri wako sasa chukua hizi zawadi nilimletea T ila kazingua nikasema asante ila sizitaki akacheka na kusema zitupe kisha akaondoka nikabaki naliangalia gari basi nikachukua ilikuwa rambo ya botik nikaichukua na kwenda mpaka sokoni nikanunua kuku kisha nikarudi nikaficha kwenye maua mzigo niliopewa na yule kaka..
nikamuandaa kuku nikampikia supu mwanae nikampelekea hata asante alishindwa kutamka basi mama akasema Cay natoka ila nitawai kurudi huyu bwege asitoke nikasema sawa kisha nikachukua kifuko changu mpaka chumbani kwangu nikakifungua nilikuta simu na visendo og vya kimasai nikasema mmmh T una mambo kisha nikavificha na kutoka kuendelea na kazi nikiwa naosha vyombo T akaja na kusema cay kumbe girls to shine walikuja ila mama aliwafukuza..
nikasema ndio akasema mbona ujasema nikasema mbona unanipa sana amri kwahiyo kila afanyacho mama niwe nakwambia akasema ok tutaona kisha akachukua simu na kupiga sikujua anampigia nani akasema girls kumbe ni hiki kicay kimemwambia mama maneno ya uongo huku akiniangalia sikumjibu chochote wala kumsemesha basi kesho yake tukaenda shule mda wa lunch nikafatwa na kina T wakasema cha umbeya mimi nilikuwa na Annay..
nikasema maneno ya kuambiwa changanya na akili yako siwakajifanya wababe niliwaadabisha kila mtu pale alibaki kushangaa watu nne nimewathibiti mpaka T nae nilimpa adabu basi watu wakawa wanashangilia cay cay cay nikarudi darasani nikiwa na hasira sana nikasema Annay mimi naondoka naenda kuomba ruhusa kwa madam kisha nikabeba begi mpaka ofisini nikapewa ruhusa basi nikiwa njiani nikaona nisirudi nyumbani nikaenda mto meta kuogelea kule nilikuta watu wanafua nilijiliwaza nilipochoka ndio nikarudi nyumbani nikiwa njiani nikakutana na mama
akasema vipi T yupo wapi nikasema shikamoo akasema T yupo wapi nikasema shuleni akasema rudi haraka usimpe nafasi yakufanya ujinga
JE UNAJUA NINI KITAENDELEA
FULL 1000 UJANJA NI UWAHI WHATSAPP 0742443214
