MWISHO WA UBAYA NI AIBU

Simulizi master
0



PAGE FULL MASTORY...
WHATSAPP 0742443214 .
SEHEMU YA 4

Amour akasema pole Cay sasa T yupo wapi nikasema sijui alikoenda jana..

Akaguna mmmh sasa namba yangu si unayo ungenicall.. furahi kaka angu muelewa je angekuwa mwingine ingekuwaje..

Nikajikuta machozi yananitoka basi tena Amour akawa ananifariji kisha akasema bro vipi tukisema tuishi nae yule mkaka akasema ngoja aende akaangalie situation kwanza nikapanda gari mpaka nyumbani wakanishusha na kusema tutafute iwapo kuna something wrong nikawashukuru na kuingia ndani nikamkuta mama T yupo sebuleni nilipandwa na hasira aliponiona akasema...

"weweeee njoo hapa alikuwa kalewa na kulikuwa na chupa nyingi za pombe nikasema nimekuja..

Akasema vipi je umefanikisha umeona raha yake..

Nikamjibu "sikia nikuambia ulipofikia ni pabaya kabisa uwezi niuza kisa mwanao kapata mimba sasa naenda polisi kukurepoti hapo nikaona kama kaelewa ..

Akasema Cay nisamehe nililewa nisameheee huku akinipa hela laki moja na kusema siwezi rudia hata kwa dawa japo inauma kwanini awe Tayana tu...

"Asiefunzwa na mamae ufunzwa na ulimwengu... Nilisema huku nikiingia chumbani kwangu kwa hasira nikiwa chumbani nikachukua simu na kumpigia Amour nikamuelekeza kuwa nipo salama basi akasema sawa kuwa makini basi nikatoka na kukutana na mama T akasema unaenda wapi nikamjibu nje..

Akaniuliza Cay unafurahi T alivyo na matatizo nikasema hakuna mtu anaefurahia tatizo kwa ndugu yake..

Basi akasema sawa iwe kweli ila nikigundua unadanganya sitakuacha nilimpuuza kwa kujua kalewa basi akasema nenda chumbani kwangu umpangie T nguo nimpelekee nikasema sawa nikaingia chumbani kwa mama nikashangaa anafunga mlango nikawa nagonga nikisema nifungulie na simu niliiacha chumbani kwangu nikawa nasema mama nifungulie ila hakufungua niliogopa mara mlango ukafunguliwa akaingia mwanaume umri kati ya miaka 45 kisha mlango ukafungwa tena..

Shikamoo niliamkia huku nikitetemeka maana nilichanganyikiwa na ilikuwa mida ya saa tatu asubuhi yule mwanaume akasema unanipa shikamoo ili uninyime nini!?.. Nina haraka tufanye fasta..

Nikasema we mbaba mbona unanifanyia hivyo akasema nakufanyia hivyo kivipi si ni biashara uliyochagua nikasema hapana mimi ni mwanafunzi ujue nikikuripoti polisi sijui kama utatoka salama wala hakujali ndio kwanza akaanza kuvu@ nguo niliogopa mara baada ya kuona sehemu zake za siri ndefu halafu nene nikasema subiri kwanza kisha nikapiga goti kusali kimoyomoyo nikisema eeeeh mungu wangu usieshindwa na majaribu ya binadamu nilinde katika hili..

Kisha nikainuka na kumuuliza kond@mu ipo wapi akasema kond@m ya nini wewe unanichelewesha nikamwambia kwa kujiamini mnavyotoa hela muwe munauliza mi mgonjwa nimeathilika kama upo tayari navu@ nguo..

"Unasema hivi huyu malay@ anataka nife?..

Alinishukuru na kuanza kuvaa nguo zake haraka haraka akanigeukia chukua pesa hii itakusaidia nikasema asante...

"pole wewe bado mdogo hii kazi haikufai kisha akagonga mlango mama T akafungua alipofungua tu yule mbaba alimpiga kofi na kusema malay@ mzee wewe..

Akiwa anashangaa nikatoka na kusema mwisho wako umefika kisha nikaingia chumbani nikachukua begi langu na kutoka nikaona bora niende kwa kina Annay kuliko kukaa mule ndani nikatoka mpaka getini huku mama T akinifata kwa kuniita nikasema ukiendelea kunifata nitapiga kelele kuwaeleza watu tabia yako yakutaka kuniuza basi akarudi ndani nikiwa pale nje akapita Dan na kusema Cay vipi na begi unasafiri..

"Afadhali nimekuona nikasema nisubiri narudi nikaingia ndani maana nilisahau simu nikaingia chumbani kwangu na kuiangalia nilipoiweka ila sikuikuta nikaona poa tu nikatoka na kusema Dan naomba msaada wako nisindikize sehemu..

akaniuliza wapi mrembo nikasema we twende basi tukaongozana mpaka kwa kina annay nikamwambia shida yangu Annay akasema Cay wangu mmh mama hawezi kubali wewe ukae hapa mama ako ni mkorofi sana..

Basi nikasema sawa best usijali..

Nikarudi alipo Dan na kumwambia tuondoke Dan akasema Cay upo sawa nikamuuliza pia unavyoniona wewe nipo sawa!?..

Nakuona haupo sawa shida nini nikasema dah niache kwanza basi akasema ok twende sehemu ukapumzike yani nilikuwa nimedata kiukweli tukaenda kwenye nyumba moja maeneo ya forest mpya nyumba kali tukaingia akasema feel at home kisha nikasema ni wapi hapa akasema ni kwangu nikaguna tu..

Basi akasema pumzika tutaongea baadae kisha akaita anti alikuja mama mmoja na kusema karibuni kisha Dan akasema anti huyu anaitwa Cay ni rafiki yangu Cay huyu ni anti msaidizi wangu...

Nikamsalimia na kusema asante basi nikakaa pale sebuleni kisha Dan akasema kama hutojali kapumzike room kwangu nikasema panatosha hapa hapa nikamuuliza wazazi wako wapo wapi!?..

Akasema pumzika tutaongee usiogope kisha akaniaga anatoka atarudi jioni kuna sehem alikuwa anaenda.....

Nkasema sawa kisha akamuita anti na kumwambia "msikilize rafiki angu anataka kula nini samahani Lakini...

Aunt akasema usijali kijana wangu basi Dan akatoka Aunt akaniuliza utapenda nini binti angu..

nikamjibu chochote tu mimi nakula akasema mmmh sema tu utakacho nalipwa kutokana na kufanya kazi..

Nikamuuliza Aunt we ni mfanyakazi kwani akanijibu kwa kusema ndio kisha akaendelea una bahati rafiki ako huyu ni mtu mwenye huruma na hekima nikacheka tu basi nikawa nakagua mazingira ya mule ndani Aunt nae akaja na kusema umesema unaitwa Cay nikaitikia akasema nimefurahi nitakuwa na mtu wa kuongea nae kwani umetoka wapi nikasema unadhani nimetoka mbali nimetoka forest ya zamani tu hapo basi akasema sawa njoo tujipikilishe basi tukaingia jikoni yaani mmmh acheni jiko jiko kweli Cay mimi nikawa najisemesha kimoyomoyo kuwa kuna watu wanaishi jamani basi Aunt akasema sijui nipike nini nikajikuta nasema ugali akasema mmmh Dan huwa hatumii ugali nikasema kwanini akasema sijui toka nije yeye wali, ndizi, chips na chapati...

"Si kasema atakuja jioni basi tupike ugali sisi akaniuliza ugali na nini nikasema mboga yeyote mara kuna mtu akawa anagonga geti Anti akaenda na kurudi na rambo kubwa na kusema Cay Dan kaagiza walete mboga nikasema toa tuone akafungua na kukuta kuna kuku kaandaliwa tayari akasema ngoja tuiinjike basi tukapika na kula..

Nikaomba nijilaze kidogo chumbani kwake akasema anti unadhani mi uwa nalala hapa hapana nakuja asubuhi naondoka saa kumi na mbili basi akanionesha chumba nikapumzike kilikuwa kina godoro tu nikajilaza sikujua kilichoendelea mpaka naamka nakuta nipo kitandani nikaangaza na kuona nipo kwenye chumba tofauti na kile nikaamka na kusimama nikaelekea mlangoni na kufungua mlango nikatokea sebuleni nilimkuta Dan anaangalia mpira na wenzake kama sita hivi aliponiona akasema Cay vipi njo uwape Hi mafriend wangu..

Nikasogea na kusema mambo zenu wakaitika poa nikajikuta nimeuliza saizi saa ngapi Dan akasema saa nne kasoro usiku kisha akanisogelea na kusema twende ukaendelee kulala tukaingia kule nilikolala akasema kuwa na amani upo pahali salama hiki ndio chumba chako nikasema asante akasema lala usiku mwema..
Basi nikajifungia kwa ndani mpaka asubuhi nilipokuja kugongewa na Anti akasema ujambo binti nikasema shikamoo

Marhaba vipi za hapa nikasema salama kisha akasema leo jumamosi endelea kupumzika basi nikarudi kulala nilirudisha tu mlango kwa mara ya kwanza nililala sehemu nzuri na nikaona nipo salama sasa nikiwa nimelala Dan akasema Cay naruhusiwa kuingia nikasema ndio huku nikijifunua nilivyojifunika..

"Vipi upo poa aliuliza nikamjibu ndio..

Cay una umri gani nikasema mimi akasema yaaa wewe

Miaka kumi na sita akasema Oooh akakaa kimya kidogo kisha akaendelea kwanini umeondoka kwenu.

Nikamuhadithia yote akasema pole sana dah kwahiyo unawasiliana na mama ako nikasema mara moja moja akasema namba unayo nikasema sijaishika ila kuna sehemu niliandika akasema itafute nikasema sawa

"Mimi mwenyeji wa dar ila nipo hapa kikazi nafanyia shirika la damu salama nina miaka 27 mimi yatima nimelelewa na bibi angu mzaa mama nimemuacha Dar....

Nikasema pole sana akasema nishapoa kuwa huru hapa itabidi tuende kwa balozi tuwaeleze nikakubaliana nae...

Akanambia niamke tunywe chai nikasema sawa ngoja nioge kwanza kweli nilioga na kwenda kunywa chai tukiwa tunakunywa chai nikauliza wenzio wapo wapi akasema waliondoka usiku nikasema kumbe basi nikasema nikinywa chai naomba niende kwa mamdogo kuna kitu nataka akijue basi akasema ok, kweli nilienda na kumkuta yupo na T akasema kilichokuleta nini nikasema miguu alicheka na kusema Nyoooo ulidhani nitakutafuta sina ushamba huo nikasema mamdogo sahau kama kuna mtu alikuwa anaitwa Cay alikuwa anaishi humu..

"Kwenda mwana kwenda unijambishi alisema Mama mdogo huku akiniangalia kwa zarau..

T akasema mama ujue cay bado mdogo mama ake akasema kelele na wewe unanichefua kisha akasema Cay ukiona nakubana kufanya ufuska toka..

Nikasema sawa na kusema T tutakuwa tunaonana shule kisha nikatoka mpaka kwa mwenye kiti nikamuelekeza kwakuwa wanamjua mama hawakushangaaa wakasema nikiwa na tatizo niwaambie basi nikarudi kule kwa Dan nilivyofika nikasema kaka dan nimerudi akasema Cay embu njoo...

Nikaenda akasema acha mambo ya ukaka wewe ni rafiki angu japo mi mkubwa kwako ila uwe unaniita Dan tu inatosha nilicheka .........

JE UNAJUA NINI KILIENDELEA????
Full season zote MBILI ni 1000 TU ujanja ni kuwahiiii watsapp 0742443214
Pia Leo ni siku ya offer😂😂
Unapata story TATU 2000
SIMULIZI MBILI 1500
MOJA KWA 900 karibu Sanaa ma boss zangu 🙏
Tags

Post a Comment

0 Comments
Post a Comment (0)

Made with Love by

Pixy Newspaper 11 Template is Designed Theme for Giving Enhanced look Various Features are availabl…
To Top