MWISHO WA UBAYA NI

Simulizi master
0

❤️ O5.
MWANDISHI FULL MASTORY
WATSAPP 0742443214

Nikaenda akasema acha mambo ya ukaka wewe ni rafiki angu japo mi mkubwa kwako ila uwe unaniita Dan tu inatosha nilicheka..
Basi nikamhadithia yote yaliyotokea kule kwa mama na kwa mwenyekiti basi akanisikiliza na kusema poa ila na mimi itabidi niende isije niletea shida baadae..

Akanambia nivae vizuri tutoke nikasema kwani hapa sijavaa akasema niende wapi na nguo zako kama fundi gereji nikacheka na kusema tunaenda wapi ili nijue natokaje akainuka na kwenda ndani kwake kisha akanipa rambo na kusema chukua kajaribu basi nikaingia chumbani kwangu na kutoa kilichopo kwenye Rambo kulikuwa na suruali na kibrauzi basi nikavaa nilitoka chicha hatari na urefu unachangia kupendeza ila kichwani nilisuka nywele mbili nilipotoka nikasema ka Dan tayari akasema waaaoh but hiyo kaka inanikera ujue kisha akasema mmmh kichwani uko🤣..

Nikasema nitasuka vizuri tukifungua shule akasema oooh kumbe student nilishajisahau anti akatokea na kusema cay umependeza binti angu jamani basi akasema mnanitoroka Dan akasema anti wewe kesho tutaenda wote akasema aya Cay twende tukawa tunatoka mpaka getini nikakuta gari akafungua mlango nakusema ingia nikajifanya nafungua mlango wa nyuma akasema Cay vipi kwahiyo mi dereva wako nikacheka na kukaa mbele akasema funga mkanda kisha akawasha redio ya mule kwenye gari kawimbo ka mule kalikuwa kanaimba akaniangalia na kusema nibadilishe nikasema eeeeh weka taarifa ya habari alicheka na kusema unaumwa wewe...

Tukaondoka mpaka Lusungilo tukapaki gari kisha akasema tukae ndani au nje nikaangalia na kusema nje pale nikamuonesha sehemu yenye kivuli tukaenda kukaa kisha akaja muhudumu na kusema muulize mrembo wangu nikasema we ndio agiza basi akasema kama kawaida yangu nadhani uwa anapenda kuja hapa basi akasema leo nina furaha kupata ndugu mwingine zaidi ya bibi angu akasema uwa unakunywa nikasema nooo akasema vizuri kisha akachukua simu na kumpigia mtu kisha akasema mpo wapi nyie, kisha akasema Cay kuna raia zinakuja hapa usije niita kaka nitachukia basi nikasema nikuite baba akasema bora hivyo kabla sijamjibu walikuja wakaka watatu jumla tukawa watano dan akawatambulisha akasema cay huyu john, imma, na wa mwisho tom nikasema nimefurahi kuwafahamu kisha akasema oyaaa shem wenu huyu..

Nilitoa macho akanikonyeza nikaona aibu kisha akasema leo nainjoy na mtoto mnaweza kwenda wakasema twendeni Sokoine tukaangalie mpira bwana man Dan akauliza nani na nani wakajibu mbeya derby..

Dan akasema Cay vipi twende nikasema nenda mi mpaka nimalize kula wakacheka na kusema dah Dan ndio maana unanawili kwa kuwa na mtu mwenye kukufanya ucheke..

kisha akasema poa tangulieni tutakuja kisha wakasema shem mida nikaitikia poa jaman Dan alifurahi sana tukala pale ilipotimu saa kumi akasema twenzetu tukawasha gari mpaka uwanjani tukawakuta kina tom kisha tukaanza kuangalia mpira mpira uliisha kwa city kuchezeshwa kwata na wajerajera (prison) tukatoka pale uwanjani mpaka nyumbani nikasema hii gari yako akasema nooo yakwetu mimi na wewe kisha tukaingia getini na kushuka mpaka ndani Anti akasema za uko Anti Cay naomba zawadi yangu nilitabasamu nikasema nilikuwa mpirani anti..

Sawa ngoja nijiandae niondoke nikamuuliza Anti unakaa wapi akasema mabatini anti angu..

kumbe karibu tu akasema ndio kanipangishia dan nikasema mlikutana wapi akasema ni story ndefu binti angu ila siku moja nitakusimulia nikasema sawa Anti..

Dan kesho ni pasaka hivyo ningependa nijue ratiba mapema alisema Anti Dan akamjibu kesho itabidi ubaki na wadogo zangu Ila akatoa pesa na kumpa Anti akisema itakusaidia kwa kesho Anti akapiga magoti kushukuru Dan akasema nooo anti mungu pekee ndie wakupigiwa magoti nilijisikia uchungu nikasema kweli Anti amka bwana akasema Cay kwangu Dan ni kama ametumwa na mungu bila uyu kijana ningekuwa naitwa marehemu kisha akaanza kulia basi nikambembeleza na kusema jiandae basi kweli alielewa na kujiandaa akaaga na kutuacha wawili basi Dan akaniuliza unajua kucheza gemu kwenye tv nikasema hapana akasema njoo ukae hapa nikufundishe kweli nikakaa alipokaa akanipa kipadi za kuchezea na kuanza kunifundisha alinifundisha kidogo nikawa naelewa...

Akasema unakichwa chepesi nikajibu nipe zawadi basi akasema zawadi gani nikasema yeyote ile akaachia kipadi za gemu na kusema sinzia nikupe nikafumba macho nikaisi kanibusu mdomoni nikastuka na kusema ndio nini uku nikiamka akasema umesema zawadi yeyote nikasema sijaipenda kisha nikaenda kuchukua maji nikanywa na kusema mi naenda kulala akasema poa nimekukwaza nikajibu hapana akasema kama ujakwazika niletee chakula nikasema sawa nikamuandalia na kumwekea alipotaka niweke akasema kaa hapo mpaka nile nikakaa..

Jamani Dan anamapozi ya kiume ni black, tall na smart basi akasema Cay mbona wewe ujala nikajibu nimeshiba akaguna nikasema kweli tena nimeshiba busu lako sijui kwanini nilitamka hivyo nikaona ananiangalia na kuuliza it's ur first kiss?

Nikawa namuangalia uku natabasamu akasema nimekuuliza nikasema sijajua kisha akaacha kula na kunisogelea niliogopa macho yakanitoka nikawaza moyoni leo nabakwa mimi jamani aliponifikia akaniinamia si nikajikuta nimeropoka mi bikra🤣......

Akaninongoneza jitunze hivyohivyo kisha akasema nenda kalale nilimuona akiwa hayupo sawa nikatoka nduki mpaka chumbani usiku ukapita nikaamka asubuhi na kujiandaa kwenda kanisani kanisani tulikutana na mama mdogo nikamsalimia hakujibu ila baada ya ibada akasema uje uchukue matambala yako kabla sijayachoma nikasema sawa akasema huku akinionyesha ile simu aliyonipaga Amour hii simu uliipata wapi nikajibu sijawahi kuwa na simu labda yako..

Nilimjibu huku nikiondoka alibaki akiniangalia tu nilirudi nyumbani na kumkuta Dan akasema Cay unaondokaje bila kunijulia hali je kama naumwa je nikamuomba msamaha akaniuliza ulienda wapi nikasema kanisani akasema waoh I like akanitazama sana mmmh hizo nywele..

Nikasema nitaenda suka baadae akasema embu leta kiti apo ndani tukae hapa nikaenda kuleta na tukakaa akasema nataka kujua vitu vichache toka kwako nikasema kama akasema unasoma shule gani nikasema Mbeya day akauliza ni goverment au private nikasema gorvement akasema oooh ulisema kidato cha tatu nikaitikia kwa kichwa akaendelea pale je pana boarding nikasema yaah but highlevel tu akasema sawa sasa unaonaje nikupeleke shule ya boarding nikasema eeeeh akasema ndio nataka ukakae shuleni sasa nitakupa mtihani uchague shule uitakayo ili nianze mchakato wa kukuamisha..

Nilifurahi kusikia hivyo basi nikaamka nilipokuwa nimekaa na kwenda kumkumbatia uku kwa mara ya kwanza mimi ndie nilimpa busu sikuona aibu wala nini mpaka nae akashangaa na kusema usijali nataka future na wewe nikasema nashukuru na nimeisi ni ndoto basi akasema nina rafiki pandahill ngoja nimcheki kisha nimuulize kama itawezekana nikasema sawa nilifurahi na kusema ngoja nikaandae chai uku nikirukaruka..........

JE UNAJUA NINI KILIENDELEA????
Full season zote MBILI ni 1000 TU ujanja ni kuwahiiii watsapp 0742443214
Pia Leo ni siku ya offer😂😂
Unapata story TATU 2000
SIMULIZI MBILI 1500
MOJA KWA 900 karibu Sanaa ma boss zangu 
Tags

Post a Comment

0 Comments
Post a Comment (0)

Made with Love by

Pixy Newspaper 11 Template is Designed Theme for Giving Enhanced look Various Features are availabl…
To Top