PAGE Full ma story
WATSP 0742443214
TUNAENDELEA TULIPOISHIA
Nilikua nikihema huku nawaza
yaliyotokea jana na kilanga changu..
Nikiwa chumbani nikasikia geti likigongwa alikuwa Anti julia nikaenda kufungua na kumkumbatia akasema Cay ulinimiss masaa tu jamani nikasema ndio basi tukaingia ndani nikamuacha anajiandaa aingie jikoni mimi nikaelekea chumbani nikajilaza ila nikawa nasikia kichwa kwa mbali kinaniuma
nikapuuzia nikalala nilikuja kushtuka najisikia vibaya yani nimelowa jasho nikaita Anti sauti haikutoka nikachukua simu na kumpigia Dan ikapokelewa ila nikashindwa ata kuongea chochote..
Ikabidi Dan aamke na kumsalimia Anti kisha akasema umemuona Cay..
Anti akasema atakuwa chumbani kwani hajatoka basi akaja chumbani na kunikuta na hali mbaya ikabidi amwite Anti na kusema aAnti ngoja nivae akarudi akavaa Tshet na kutoka akanibeba mpaka kwenye gari lake kisha akanipeleka maranatha hospital
nilipokelewa na kuingizwa wodini kisha wakanipima na kusema mtundikieni maji wakaleta drip na kuniwekea nilikuwa sijitambui basi wakasema itabidi alazwe msijali atakuwa sawa Dan na anti walikuwa wamechanganyikiwa sana ikabidi dokta awape matumaini na kusema msijali mkirudi atakuwa sawa..
Basi ilipofika saa nne nilipata unafuu na kuweza kutambua nipo wapi basi dokta akaja na kusema vipi binti unajisikiaje nikasema nipo sawa akasema ata mimi nakuona kisha akasema pumzika kidogo nakuchoma sindano akanichoma nikajilalia nilipitiwa tena na usingizi nilikuja amshwa na Dan akasema vipi unajisikiaje na kama ulikuwa unaumwa y ukuniambia nikasema sielewi mbona nilikuwa mzima dokta akaja na kusema umechangamka sana nikasema asante basi Dan akauliza kipi kinamsumbua.
"Taiphody na amiba itakuwa anakula sana vitu vibichi na maji yasiyo salama Dan Akasema asante daktari..
Daktari akatoka dan akasema uko shuleni mnakulakula tu mifyakula nikasema sio sana basi akasema amka ukae ule nikasema sijisikiii kula akasema cay dawa zinanguvu aya naomba ule kipenzi changu hapo kidogo nikasema sawa nakula mmeniletea nini akasema mgonjwa unapenda kula nikasema basi sili
Dan akaelekea kule kwa dokta akarudi na kusema kasema hakuna shida saa kumi nitarudi kukuchukua akanibusu kwenye paji la uso na kusema mi naenda nikasema baiii akatoka nikaendelea kula pizza zangu nikajipumzisha saa kumi juu ya alama Anti na Dan walifika niliona aibu nikajifanya nimelala Dan akasogea na kusema Cay Anti kaja nikafumbua macho nikagongana nae akacheka na kusema Anti binti ako huyu haishi vituko...
Kwakuwa niliruhusiwa tukatoka mpaka nyumbani nikashangaa napelekwa chumbani kwa dan sikuuliza nikaambiwa pumzika nikasema nimepona dan akasema ulivyo na ubishi pumzika hapa uku akinilaza na kunifunika nilitafakari upendo wa huyu kaka jamani...
Basi akaniacha nikiwa nimelala ilipofika saa mbili aliniletea dawa nikanywa kisha na chakula kwani anti alishaondoka, ulipofika muda wa kulala mi nilikuwa macho ila nikajifanya nimepitiwa na usingizi akaja na kusema cay ulale salama nikakaa kimya akanigusa usoni kama anapima joto kisha akalala pembeni yangu mpaka saa nane usiku akaniamsha kunywa dawa nikanywa na kumshukuru kwa kujari nililala nikiwa huru kwa kuwa na mtu muelewa..
Zilipita wiki mbili na likizo ikaisha tukafungua shule nikapelekwa kama kawaida tukaendelea na masomo kila jumapili ya mwisho wa mwezi alikuwa ananitembelea tunafurahi wenyewe anakuja na vitu muhimu kama pedi, reso, mafuta nilikuwa nastaajabu upendo wake maisha yalikuwa matamu hatari shule nako nilikuwa nafanya vizuri usumbufu wa kimapenzi toka kwa wanafunzi wa ALevel ulikuwa mkubwa sana ila kwakuwa nilikuwa najua thamani yangu sikushughulika na mambo hayo....
Nilikuwa nawaongozea vibaya kwa masomo ya Science basi Midtem ya mwezi wa tisa ikafika kama kawaida Dan alikuja kunichukua na kunirudisha nyumbani tulizoeana sana hakuwai niambia jambo lolote baya bali alikuwa ananisisitiza elimu, nilipopumzika nikaenda kwa mamdogo nilimkuta nikamsalimia akaitikia na kusema za shule nilishangaa nikasema nzuri akasema umesahau nini mbona unapenda kuniharibia siku nikajibu nilikuja kuwajulia khali nikasema T yupo wapi akasema amekufa nikacheka na kusema Ma mdogo mi najua unanichukia sana ila hapa nilikuja kumsalimia T..
Mara t akatoka akiwa kachoka akasema Cay karibu nikasema asante vipi hali yako akasema mmmh acha tu yani natamani nimgawie mtu nimechoka..
Nikasema pole dada angu maana kanizidi mwaka mmoja kisha nikaaga akawa ananisindikiza uku akisema Cay ma mkubwa wiki ijayo anaweza kuja nikasema eeeh naomba namba ya mama akasema sijaishika kichwani nikampa namba yangu ili anitumie sms akasema unaishi wapi wewe nikasema ilomba sikutaka apajue ingeniletea shida basi tukaagana nikakodi bajaji mpaka nyumbani nikamkuta Dan yupo uwani anaruka kamba aliponiona akasema njo tule nilikuwa nakusubiri basi nikasema uongo huo huna njaa nikasema anti yupo wapi akasema kaondoka mwanae mkubwa karudi nikasema atakuwa kafurahi kisha nikasema twende tukale, tukawa tunakula uku tukipiga story za shule nikimuadithia mambo ya shule na ubabe wangu akawa anacheka nikasema nawewe niadithie chochote akasema once up a time there are two birds in the tree...
Nikasema siitaki hadithi ya kale akacheka mwenyewe tukala na kutoa vyombo na kuosha tukiwa wote kisha akasema twende gym pale gym vaa mavazi ya gym kweli nikavaa tukatoka bila gari mpaka gym nikiwa gym sms iliingia ilitoka kwa T alikuwa kanitumia namba ya mama nilifurahi sana na kumwambia Dan nae akasema imekuwa vyema tukafanya mazoezi pale mpaka saa moja tukarudi nyumbani nikaoga na kuvaa kibukta na singlend kilichoandikwa mbeya girl kisha tukakaa sebuleni ili nimpigie mama alhamdulilah mama alikuwa hewani nikapiga WhatsApp video call kutumia simu ya Dan...
Mama akasema Cay mama hujambo nilijikuta nalia jamani akasema usilie najua unayoyapitia niliambiwa na mwenyekiti ila mama ako mdogo anajua sifahamu kama haupo nyumbani wiki ijayo nitarudi nikasema nitakuwa shule mama basi akasema sina mengi mwanangu nakuamini kwa nilivyokulea mpe huyo kijana simu nilishangaa nikasema umejuaje akasema najua yote mshukuru sana na muheshimu sana nikampa simu Dan wakaongea weeeee mpaka wakachoka basi tukaagana na mama nilikuwa na furaha sana hatukula kwani tulikunywa juisi ivyo MATUMBO
UNAHISI NINI KITAFUATA???
FULL SEASON ZOTE MBILI NI 1000 TU UJANJA NI KUWAHIIII WATSAPP 0742443214
