SAFARI YA ZANZIBAR Sehemu ya 02
Page Bahari ya simulizi
Tuanze......
ndiyo TUMAINI tu miezi mitatu apa
Sawa nilipewa chumba kwajili yangu chumbani ni pakawaida tu nili jipumzisha kwa mda na baadae nilitoka kwajil ya maongezi ya apa na pale
Usiku kaka ndo analudi nilifulah saan kumuona tulikumbatiana kwa fulaha
Haaa TUMAINI umekua sana dogo yani umezidi kuwa mlembo jamani
Yani kula mala unaniita mimi mlembo tu wakati akuna lolote kaka bana acha kunipa sifa ambazo sina bwana
Mi nakwambia dogo bas ulikua niutani wa kaka yangu eh vip safali yako ilikuawa je
Ilikua poa sana tu kaka vipi na wazee uko wana endelea aje wako poa kodi tu ndo changa moto yani boss wake baba anafanya mazoea amlipi kwa wakati
Siunajua maisha ya dar na biashala ya mama aikizi maitaji mama yangu huwa ana uza sambusa asubuh mpaka jioni
Usijali yani ili dili kama likienda poa lazima tutawasaidia wazazi wetu
Nenda kalale kesho nitakupeleka huko
Lakini mbona ujanambia ni dili gani
Aaah dogo kalale kesho utaenda kujua
Yani uyu kaka sijui ana taka kunipa kazi gani ili nibidi nikalale
Nilala usku nikastuka yani niliota ndoto mbaya kama kuna watu kiibao alafu mie nimelazwa chini wanataka kunichinja apo ndo nikastuka
Eeeh mung wangu ina maana gani ii ndoto nili kosa usingizi kabsa mpaka asubuh wifi alikuja kuniamsha
TUMAINI jiandae kaka yako ana kusubili sebleni nilijiandaa na kutoka apo sasa ndo nika jitafsilia mwenyew ile ndoto ina maana kaka anataka kunitoa kafala eeh maana amefanikiwa gafla sana miezi mitatu nyuma alikua ana hali mbaya kiuchumi jambo ambalo lilipelekea sisi kudaiwa kodi
Sasaivi eti ana kazi na aitoshi anaishi katka nyumba nzuli ana gali pia mmh ina maana kaka hassan atakua amejiunga na frimason eeeh nilikuwa na waza
TUMAINI ailikua ni sauti ya kaka hasani abeeh kaka bas nili msalimia twende sasa tuna chelewa
Tulitoka na safali ili anza ilikua ni umbali mlefu kidogo
Atimae tulifika seehem ya maboss yani ni nyumba nzuli nzuli tu zenye fensi
Tulifika mbele ya get moja yani apo ndo nikaaona kabisa leo mie nakua kafala yani niliomba mungu anisaidie na kama nitapona leo bas nitalisha yatima kama fidia ya maisha yangu bas kaka akapiga oni na alaka get likafunguliwa
Tukaingia ndani ilikua ni nyumba kubwa ya golofa mmoja nje kuna bostani ya kuvutia sana tulishuka katika gar na kaka aliniongoza kuelekea ndani
Ooh hasani kalibu
Asante madam
Alikua ni mmama wa mkamo alie tukalibisha ila ni shangingi acha yani jeupee kama mwalabu
Tulikaa chini baada ya kukalibishwa naona umekuja na mgeni eeh
Ndiyo madam uyu ndo yule bint ambae anafanya kazi yako anaitwa Tumaini
Ooh sawa kalibu sana Tumaini
Asante madam
Basi mimi ngoja ni muwai boss mdogo maana muda wangu walikizo unakalibia kuisha
Kaka aliaga na kuondoka zake
Wakati wote huo dadaenu loho ishageuka langi naujanja wangu wote kwisha
Tumaini kalibu sana jisikie upo nyumban
Asante madam
Aaah Tumaini usiniite madam we niite mama dada shangazi au unaweza kuniita Mama abdul
Sawa nimeelewa
Eeeh Tumaini nazani Hasani amesha kujuza kazi gani unatakiwa kufanya eeh
Apana shangazi akanambia
Mmmh sawa nilizani atakua kukwambia
Ila iko ivi kazi yenyewe ni kufiks kitu
Kitu gani icho shangazi
Ni mtu anaitaji kulekebishwa
Anaitwa ABDUL ni kijana wangu yani ata simuelewi alivyo yuko na mika ishlini na mbili lakini ajawai kua na lafki wa kike malafiki zake ni wakiume tena alivyo sasa ni kama shoga
Wakati fulan sitaki kuamini hilo maana nimemlea kwa mikono yangu na asilimia mia alikua sawa sasa sijui wapi alipo alibika nikiwa kama mzazi siamini lakini watu wengi wamekuwa wakisema mitaani na ata wafanyakazi wangu kazini kua mwangu ni shoga
Naumia sana kusikia hili na ndo maana naitaji wewe unisaidie kufaham kama ili jambo ni kweli
Mmmh kwanza nilipumua kama ng'ombe baada ya kujua sijaletwa kufa hapa
Ina maana iyo ndo kazi yenyewe mmmh jamani atakama nina shida ya pesa lakini utaweza je kumfiks mtu kwani amekua gali nilijiwaza
Tumaini mbona usemi chochote
Lakini shangazi nitaweza je kujua kama kweli ni shoga na je kama ni kweli itakuawa je
Tumaini we fanya maana kama ni kweli nitamsaidia kutoka kabisa katika janga hilo maana ni mtoto wangu wapekee
Naomba unisaidie nitakulipa pesa yoyote utakayo
Baada ya kusikia mambo ya pesa mbona kama nilianza kulegea
Eti utanilipa pela yoyote nitakayo
Ndiyo nitakulipa milioni kumi tano nitakulipa mwanzoni na tano mwisho wa kazi nataka kazi yako ufanye ndani ya miezi mitatu tu
Aah mimi ninani niache pesa nilikubali alaka kama mshale asije akapunguza pesa
Napia Tumaini inabidi uzuge kama mfanyakazi wa ndani ili asikustukie maana uyo mtu ana chamba kama mwanamke
Mmh Tumaini utaiweza ii kazi mbona kama ngum kwako nilijiambia mwenyew
Saw shangazi lakini kuusu kufanya kazi za ndani inabidi unilipe tena
Kuusu ilo alina tabu mimi ndo nitajua nikulipe bei gani kwa mwezi tumemaliza si ndio
Ndio shangazi
Aya njoo nikuoneshe chumba chako
Nilipelekwa juu kalibu na chumba cha muusika Bwana ABDUL
Tumaini ikindo chumba chako na iko kinacho tazamana nacho ndo chumba cha ABDUL kuwa makini ni mtu asiye penda mazoea na wanawake kabisa
Aliniacha na kutoka
Nilibaki najiuliza kama nitaiweza iikazi mie
Nili mpgia mama ili kutuliza hofu nilio kua nayo tuliongea kidogo nilijalibu kutaka kumwambia lakini nilihofia
Baniliongea nae mengine tu baada ya kukata sim ya mama nili mtumia sms kaka hasani ili kumjulisha kama nishaanza kazi lakini aikujibiwa
Mmmh kwani kaka atakua anafanya kazi gani sasa kama mimi ndo nafanya kazi hii na kwanini mimi katika kazi hii ambayo itanifanya nifanye mapenzi na mtu nisie mjua mbona mtiani huu
Nilijituliza kwa muda na jioni nilitoka nikamkuta Mama Abdul yupo jikoni ana andaa chakula cha jionii ilinibidi nisogee kwajili ya kuona ni jinsi gani wana pika chakula chao
Nilimsaidia pale na mwisho tukamaliza kupika nikaandaa
Baada ya kuandaa tulitulia tukuangalia

Tumaini nataka utambue kuwa
Je nini KITAENDELEAAA
OFAAAA FULL MPK MWISHO KWA 1000 TU
WAHI WHATSAPP 0755090082
Comments
Post a Comment