SAFARI YA ZANZIBAR Sehemu ya 04
Page Bahari ya simulizi
Tusonge mbele ......
kutimiza kazi ngumu kama hii
Wakati nimetulia nikasia mlango una gongwa
Nani
Ni mimi Tumaini
Aah shangazi
Ingia
Aliingia kalibu shangazi sasa Tumaini naitaji ujue
Kuna mgeni atakuja kesho sawa alafu nipatie namba zako maana sina saw shangazi bas
Tulibadilishana namba pale alafu akuna kupika leo tutatoka jioni sawa nilivo sikia akuna kupika tunaenda kula nje nilifulah mno daaah maisha si ndo haya sasa
Bas mwali wenu nilijiona kama malaika lakini nikikumbuka kazi ngumu iliyo mbele naishiwa uloto kabsa
Shangazi Aliniletea nguo nzuli nikavaa niliwaka acha yani kama siyo mie mtoto wa uswazi
Tulitoka kwajili ya matembezi na kupata chakula cha jioni Abdul yeye ndo alikua deleva
Basi tulifika katika hotel moja nzuli ipo kalibu na bahari tuka agiza chakula na kuanza kula talatibu
Sikua mshamba wa kula kistalabu maana kipindi cha mwanzo mangi alikua ananitoa auti
Tulipata chakula pale apo Alikuja kijana moja ivi aka mchukua Abdul na kutoka nae
Tumaini Unaona alivyo sasa izi ndo tabia zake na wala ajali
Nimeona shangazi usijali wewe fanya kitu kimoja tu shangazi muombee dua tu ili ata mimi kazi yangu iwe laisi kabla mambo ayaja kua mabaya zaidi
Sawa nitafanya ivo tulitulia tukipunga upepo daaah ukiwa na ela laha nyie
Baada ya masaa mawil ndo aliludi
Mama muda wa kwenda
Kwa mala ya kwanza naiskia sauti yake kaah anasauti nzito tena ile ya jaiva lakini ndoivo tena wana sema ni mchicha mwiba
Tulitoka na kuludi nyumbani kila mmoja aliingia chumbani kwake
Asubuh waliondoka kazini watu wa usafi walifika na kufanya kazi zao walipo maliza wakaondo apo sasa nikawa mpweke mno
Nilicheza gem nikalala nikachat na malafiki na familia
Jioni ndo akaja sasa uyo mgeni alikua ni msichana mzuli sana nilimkalibisha na kwakua nilisha achiwa maelekezo aikua tabu kwangu nilimuonesha chumba chake
Wewe ninani
Ooh mimi ni mfanyakazi mpya apa Naitwa Tumaini
Ooh sawa na mimi ni mchumba wa Abdul Naitwa alyyah
Alijitambulisha kwa kujinadi mwenyew
Mmh uyu wawapi tena Jamani wengine wanasema Abdul ni mchicha mwiba wengine wana jitambulisha ni wachumba
Kama kawaida niliongea kimoyomoyo uku namcholaAnavo linga mwenyew
Nilimletea kinywa pale na kumacha nikaenda zangu jikoni
Usiku waliludi alyyah umefika bint yangu kalibu sana
Asante ma mkwe walikua na fulaha sana kuonana mara Abdul nae anaingia
Alyyah kumkimbia kamkumbatia mwenyew kwa mbwembwe zote lakini alisukumwa uko
Wewe vipi mbona kunukishana jasho eeh
Jamani Abdul sa ndo nini kunipushi kama ivo ina maana nanuka au
Sikia upo apa kwajili ya shangazi yako na siyo mimi jieshim sawa
Uyo akaondoka zake chumbani
Mie tena ndokuamini haaa kumbe uyu mtu ana shushua ivi mungu wangu kamshushuwa dada wawatu amu ana nyie apa kazi ipo
Aliyah Mwanangu uyu siyo Abdul yule wa utotoni sasaivi tuna Abdul mwengine inabidi ukae mbali nae la sivyo ata kukela sana na auto sikua amani kuwa apa
Chakula cha usiku kama kawaida tukla watatu
Niko naosha vyombo ndo ana kuja kama kawaida kapasha Chakula chake uyo kaondoka
Zikapita wiki mbili nikawa mwenyeji sasa
Sikuiyo usiku nilikua nasikia makelele kama watu wanagombana ikabidi nitoke kwa staili ya mzee majuto yani ile ya kupiga chabo
Hee kumbe alikua Abdul ana mtimua Aliyah usiku usiku aliingia chumbani kwake haaa yani uyu ajipendi alitolewa msobe msobe mie niko nyuma kimya kimya tu nafatilia shoo
Yani nilijisahau kua na mimi nitakuja kutimuliwa kama ivo siku moja
Baada ya muda Abdul aliludi chumbani na mie mjukuu wa King majuto nikaludi kulala
Asubuh niko zangu jikoni nasikia mtu anabuluza mabegi kutoka juu ikabidi nitoke nishuudie nisije kupitwa maana akuna wa kunisimulia alikua ni Abdul anabuluza beg la Aliyah ukua Aliyah anafata nyuma shangazi yake
Abdul nimesema acha Mama simtaki uyu mpwa wako apa naomba aondoke kwao sasaivi siitaji mtu msumbufu apa ndani na nachotaka atambue mimi ni kaka yake na siyo ananiletea maswala ya mapenzi ana adabu kabisa aondoke
Mama Abdul ana neno kwa mwanawe yani neno lake ni shelia basi ilibidi ampeleke mtoto wa kaka yake
Tumaini mi natoka nitaludi jioni sawa shangaz
Walitoka na Abdul alingia ndani Baada ya dakika nae aka toka
Nilimpigia wifi kwanza ili nipige nae stoli mbili tatu
Alooh Tumaini
Uko poa
Ndiyo wifi ajambo mjomba wangu
Ajamb
Of kwako
Daaaah mie ata sielewi yani iikazi ni ngumu yani apa kafukuzwa mtu sasaivi naofia wifi na mimi itatokea siku moja kama nikijulikana
Usijali wewe ni Tumaini autakiwi kata tamaa inabidi ujipe Tumaini utaweza
Niliinjoy maneno ya wifi mno nilikata sim nakuanza upya maana siku zinaisha naakuna cha maana nilicho fanya
Jioni aliludi shangazi Tumaini shika ii alinipa baasha ya kaki
Iininusu ya pesa yako
Nilifulah mno kupata pesa yani apo ndo nikaaona kazi ii inataka usilia maana nisha chukua pesa ya watu niliingia chumbani nikawa naesabu ile pesa
Ili kua ni pesa nyingi kwangu maana sijawai kuona pesa kama izoo ata uyo mangi alikua ananionga mwisho elfu hamsini tu
Nilizilalia zile pesa uku natafuta mpango ili niiyanze kazi lasim
Siku iyo Abdul alichelewa sana kuludi yani mama yake alikaa sebleni akimsubili mwanawe
Saa saba za usiku ndo analudi
Mwanangu saaizi ndo muda wa kuludo nyumban kweli
Mama sitak maswali naitaji kulala
Alipita na kwenda chumbani kwake kulala mie na shangazi ilibidi tuka lale pia
Asubuh nilienda chumba kwa Abdul kumuamsha maana alipitiliza muda wake
Niligonga sana akuna majibu nilipo gusa kitasa palikuwa wazi nikaingia
Alikua bado yupo kitandani nilisogea talatibu ili nimuamshe
Yani akilala anakua kama mtu asie na atia unatamani mpaka alale tu ivoivo
Nili muita kwa sauti ya talatibu
Mpaka alipo amka
Alistuka uyo
Wewe unafanya nini chumbani kwangu eeeh
Nimekuja kukuamsha maana umechelewa kuamka na mama yako amesema kuna kikao cha body saa nne
Saw toka sasa ilibidi nitoke
Baada ya dakika kazaa alitoka wakati uwo kaka hasani alikua ana msubili
Niliingia chumbani kwa Abdul nitafanya usafi na upelelezi ili nione kama kuna kiashilia chochote cha ushoga maana wanakuaga na
vya mshine lakini hakuna

Basi nilifanya usafi pale nilipo maliza nilitoka
Lakini gafla nikaona 











JE NINI KITAENDELEAAA
SIMULIZI HI IMEKAMILIKA MPK. MWISHO KABISA
KUIPATA YOTE NI 1000 TU
NJO WHATSAPP 0755090082
Comments
Post a Comment