SAFARI YA ZANZIBAR Sehemu ya 05
Page Bahari ya simulizi
Tusonge mbele ......
Nikapata wazo la kumvuta kwanza kiulafiki kama itafanya kazi maana ndo apendi ukalibu na wanawake
Eeeh mungu nisaidie maana nataka kumsaidia pia uy mama anae teseka kwajili ya kijana wake
Jioni waliludi pamoja mama na mwana
Tumaini umeshinda je
Niko poa tu shangazi
Abdul kama kawaida kapita kimya kimya
Nikaona we usinizoee wewe
Za saizi Kaka Abdul
Ajaitikia
Kaka Abdul si nakusalimia wewe
Hey kwani vipi mbona una lazimisha salam kuna mshahala unalipwa kwajili ya kumsalimia mtu
Kaah uyu nae ana dogo salama tu ndo mineno ya shombo ina mtoka ivi
Alinda chumbani kwake na gafla aliludi
Wewe ndo ulie fanya usafi chumbani kwangu
Aliuliza kwa asila
Mpaka nikaogopa
Ndiyo kaka
Nani kanutuma eeh toka uje apa nishawai kukuomba usafishe chumba changu
Anaongea uku anani vuta kwenda chumbani
Tulivo fika
Sikia wewe ludisha vilevile ulivo kuta na usiludie kuingia chumba iki bila ya amli yangu
Nili simama kwanza nika mzum uku natafakali nifanye nini
Kaka Abdul mimi nimesafisha na kama unapenda bas iyo ni juu yako kuvuliga na siyo mimi tena alinivuta kwa nguvu una sema
maje wewe
Vipi unataka kunifukuza na mimi kama ulivyo mfukuza Aliyah na wafanyakazi waliopita
Unazani ni laha kwetu kufanya kazi kama izi uwezi jua mchungu tunayo pata maana Unazani kila mwanamke ni mbaya mie sijui walikufanya nini wanawake mpaka una unawachukia ila ninachotaka ujue kua watu kama sisi tunao fanya kazi kama izi ni kwajili ya kuziondoa familia zetu katika umasikini
Nilijinasua pale na kutoka
Nilimuacha akijishauli mwenyew
Nikaingia chumbani kwangu
Ila kiukweli niliumia maana alinishika kwa nguvu sana

Yani nisipo kua mjasili miezi mitatu itaisha bila ya kufanikiwa
Nilifunga mlango wangu nikalala yani ata chakula sikujali
Siku ya pili ilikua ni wikiendi makini sikutoka maana nataka nishinde ili niweze kuweka ukalibu na Abdul
Tumaini mimi natoka leo na kesh kwajili ya kukupa nafasi ya kutengeneza
Ukalibu na Abdul Sawa
Sawa shangaz basi shangazi aliachia uwanja ili nifanye jambo
Nikasema leo sitoki umu ndani yani kule kunivuta vuta jana ndo kisingizio
Nililala kulala wala akuja kuniona nikamtumia sms shangazi amwambie Abdul kuwa naumwa anipeleke hospital
Azikupita dakika mbili uyo kaingia nilivyo muona mie tena ndo naemea juju
Alinibeba mpaka hospital nilipimwa pale nilikua sujaumwa mda mlefu kwaiyo nilikutwa na malaria jamani mungu fundi yani nina malelia wakati siumwi chochote
Bas alipewa ushauli pale na dawa tukaludi nyumban
Alikua mwema kiasi alipika tukala na kunipa dawa kwa wakati
Nilimeza dawa wakati siumwi haa kazi zingine izi tuangalie
Basi siku ilisha kwa kushinda pamoja lakini ajaniongelesha yani anafanya tu majukumu tu Nililala pale sebleni asubuh naamka najikuta chumbani
Itakua alinibeba jamani daaah naona mbinu iii imefanya kazi
Mala nikaisi mlango kufunguliwa nilitulia tuli alikua ni yeye
Aloo wewe amaka bwana muda wa dawa alisogea na kunitikisa
Nilijifanya kama ndo natoka kuamka fulu miayo yani
Alinipa dawa
Njoo chini kwajili ya kupata chai
Akaondoka nilioga na kushuka chni kwajili ya kupata chai
Aliniacha mwenyew mezani yeye alika pembeni na chai yake
Yani uyu ni mbinafs sana ata sijui kwanini apendi wanawake jamani au ndo anaisi kila mwanamke ni mke mwenzie tu
Jioni shangazi aliludi Tumaini unaendelea je niko sawa tu shangazi
Shuklani zote ziende kwa kaka Abdul amenisaidia sana
Kwakweli asante sana mwanangu
Abdul aliinuka na kuchukua funguo za gar na kuondoka
Tulibaki tuna tazamana tu na shangazi
Tumaini vp mpango wako umefanya kazi
Kiasi chake shangazi
Aliludi usiku sana kama kawaida yake lakini leo atukumsubili kila mtu aliingia kulala
Na nilimpanga shangazi ata akimgongea asiamke ili aje kugonga kwangu tuzidi kuweka ukalibu basi alipiga sim ya mama ake na kuita lakini wap yani mpaka alikumbuka kama kuna mtu mwengine ndani ana weza kumgongea bas alikuja kalibu na dilisha akaanza
Kulusha vijiwe mie namchola tu yani mpaka nikamuonea uluma nikafungua dilisha
Oya usingizi gani uwo ebu Nifungulie mlango
Nilitoka talatibu talatibu na kwenda kufungua mlango ani alikua kafula mbaya
Alinipita kama ajaniona
Ina maana uwezi ata kusema asante kwangu
Usinipagie
Sawa natumai itakua mala ya mwisho kukufungulia wewe si mjeuli
Nilimwambia ivo lakini akujali wala aliondoka zake
Na mie talatibu nikaingia ndan kwangu
Asubuh kama kawaida alichelewa ivo shangazi aliondoka na kumuacha
Nikasema leo wacha nisimuashe ili akome za lau yani sijui yuko je mambo yake kama mwanamke
Alila mpaka saa sita mie niko nje tu napiga picha na sikuiyo kaka hasani akuja sijui alikua na zalula gani
Wewe Tumaini sijui Tumaini uko wapi alikua ni Abdul ana niita
Niliingia ndani
Abeeh kaka
Mjinga kweli wewe unawezaje kuniacha nilale mpaka mda uu eeeh kwanini ukuniamsha na kuuliza
Samahan kaka Abdul unakumbuka ulinambia nisiingie tena chumbani kwako
Na ndo nilicho fanya maana niligonga mlango lakini ukuamka
Niliamua kumuongope ety nili mgongea
Yani wewe ni mzembe kabisa
Niliona uyu ananichukulia poa
Kaka Abdul mimi siyo mzembe ila wewe ndo mzembe maana umechelewa kuludi alafu unajua ni siku ya kazi je apo mimi nimeusika vipi
Sikia wewe unajifanya ni muongeaji ee naisi umeichoka kazi yako endelea kujifanya una kihelehele tu

We kama unataka kunifukuza kazi kwakua nimekwambia ukweli bas fanya ivo
Nilitoka na kumuacha ananitafakali
Wakati niko jikoni sim yangu ili ita alikua ni kaka hassan
Alooh kaka
Vipi dogo uko poa
Ndiyo kaka
Mbona kinyonge
Unajua bado miezi miwili na siku tu na bado sijafanikiwa kuweka ukalibu na Abdul na sijui nitaweza je maana ni mtu mgumu ajali kabisa
Mmmh dogo mbona unakata tamaa mapema ivo najua ni mgumu lakini usiwe una muogopa yani mshushue kua mchaluko tu fanya vitu ambavyo avipendi iii ina wezekana ika saidia
Sawa kaka lakini ata wewe
JE NINI KITAENDELEAAA
SIMULIZI HI IMEKAMILIKA MPK. MWISHO KABISA
KUIPATA YOTE NI 1000 TU
NJO WHATSAPP 0755090082
Comments
Post a Comment