SAFARI YA ZANZIBAR Sehemu ya 06



Page Bahari ya simulizi
Tusonge mbele ......
Mmmh dogo mbona unakata tamaa mapema ivo najua ni mgumu lakini usiwe una muogopa yani mshushue kua mchaluko fanya vitu ambavyo avipendi iii ina wezekana ika saidia kufanya akuuzoee unajua wewe siyo wa kwanza wenge weshindwa lakini nataka wewe ndo uwe wa mwisho na kuaminia mdogo wangu
Daaah kweli uyu ni kaka angu alinipa moyo
Kwani kaka na wewe ilikua ngumu kama ivi eeh
Apana ayupo ivo kwa wanaume yani nilaisi sana kumzoea kama utakuwa mwanaume
Heee unasema kweli kaka
Ndo ivo ilivo dogo tulimaliza mazungumzo nikaona ngoja nimfate ushauli wa kaka yani niwe mtu wa ovyo nikampikia chai nikaenda kumpeleke sikugonga ata mlango nilipita full nikamkuta anasoma kitabu alivyo niona fasta alificha kile kitabu
Wee umefata nini apa
Nimekuletea chai nikampa
Aliipokea lakini alinitazama kwa asila uyo
Nami wala siku toka nilikua nachungulia chungulia kile kitabu nijue ni cha nini
Unasubili nini si uende
Alinifokea
Nitaondoka pindi utakapo maliza chai
We ni mjinga eeh kwaiyo unataka ninywe kama maji ebu toka
Safali ii alikua anaongea uku ana nyanyuka nikaona weeh asije nimwagia chai wacha niende
Wakat naondoka nilipiga jicho kile kitabu
Nikaona ni kitabu cha ngono nyieeh
Nilitoka na mawazo ni kweli kile ni kitabu cha ngono Mmmh siyo kweli na kama niivo mbona nilisachi sikuona itakua ana ficha wapi
Nilikaa sebleni naangalia tv
Kwa muda mala Abdul alikua ana shuka alinipita akaenda nje
Ikabidi nichungulie dilishani haaa alienda kumpokea mtu nanilipo muangalia vizuli ni yule mkaka alie ondoka nae ile siku tuliyo enda kupata chakula
Waliingia ndani
Za saizi mlembo alinisalimia yule mkaka
Na kupitiliza ndani
Nilibaki nimeachia mdomo yani apo ndo nikaamini uwenda ni kweli jamaa ana menywa
Waliikaa uko mpaka jioni ndo wanatoka tena Abdul kabadili nguo kavaa zingine alimsindikiza mpaka nje alafu akaludi kukaa sebleni
Aikupita mda shangazi aka ludi
Aliingia kwa asila atali
Abdul ivi wewe ni mtoto wa aina gani eeh ina maana umeleta Tena Nick nyumban kwangu
Apo ndo nikajua kumbe yule mkaka anaitwa Nick na ina maana shangazi ana mjua kama Nick ndo ana mtafuna mwanawe
Dunia simama nishuke nilijikuta nasema kwa sauti jambo ambalo lilifanya wote wanigeukie
Nilishitka baada ya kuona wote wanan tazama ikabidi niondoke chumbani kwangu nipishe waongee
Nilifika mlangoni kwangu nikawa na waza nikakitafute kile kitabu bas nili fungua mlango wa chumbani kwa Abdul na kuingia talatibu
Sasa nitakipata wapi jamani kile kitabu nilikagua kabatini akuna wakati nashangaa shangaa nikaona beg lake la kazini
Akili ikanambia labda kipo mule ebu kaangalie
Nilichukua beg nikawa na aangalia weeeh siyo kitabu ni vitabu vya mapenzi duuuuh uyu mtu anafanya nini na vitabu ivi vyote kulikuwa na vestline umo umo
Nikaona apa nitafumwa ngoja nitoke nikaendelea siku nyengine nilitoka na alama ya kuuliza
Niliingia chumbani sijui ata nitafanya nini baada ya kuona vile vitu
Mungu ina maana mkaka mzuli kama ivi ni kweli shoga na kama kweli kwasababu gani iwe ivi wakati mama yake ana sema mwanawe alikua lijali nini kimemkuta uyu
Eeeh mungu nini iii
Niliona ngoja nimpigie mama kwanza labda kichwa kitatulia
Alooh mwanangu hujambo
Sijambo mzazi wangu
Of kwako na baba sie tuko poa sawa nataka nikutumie ela kidogo uka mnunulie sim baba
Ahaa sawa
Ok mama nilikua nakusalimia tu
Mbona kama auko sawa bint yangu
Niko sawa mzazi wangu
Acha uwongo Tumaini mwanangu mimi ni mama najua vizuli kama aupo sawa
Nikweli mama ninajambo zito sana linanisumbua ata sijui jinsi ya kulitatua mzazi wangu
Nini icho nambie kwa kifupi uwenda nikakupa wazo litakalo kufaa
Nilimsimulia kila kitu
Mmmh maji usha ya vulia nguo ayo uyaoge tu alafu ukitaka kufanikiwa
Ebu acha kumlaumu tafuta sababu kwanza unajua uwenda kuna chanzo tafuta kujua chanzo kabla ya kumuona uyo kijana mkosefu mwanangu sizani kuna mtu anae tamani ali iyo
Asante mama kwa ushauli wako
Niliona ni sawa kabisa wacha niendeleena upelelezi kwanza
Sita mwambia mama yake kuusu vitabu na kilainshi nilianza kuwa msumbufu yani namfanyia vitu vya ovyo mpaka aka zoea fujo zangu siku moja aliniita
Tumaini abeeh kaka Abdul
Nipe sim yako
JE NINI KITAENDELEAAA
SIMULIZI HI IMEKAMILIKA MPK. MWISHO KABISA
KUIPATA YOTE NI 1000 TU
NJO WHATSAPP 0755090082

Comments

Popular posts from this blog

Chombezo : Huruma Ya Dudu Sehemu Ya : Pili (2)

Leyla binti bikra -01

SEHEMU YA 06---10