Page Bahari ya simulizi
WhatsApp 0755090082
“ mume? Mume wangu yupi Shakti? Akauliza madam kwa sautin ya mshangao…
“ kunai le namba ambayo ulinip ukanambia ni mume ewako, nimeshangaa tu ananipigia sijui hata ni kwa sababu gani , itakuwa anataka uwah kurudi nyumban, nikaendelea kusema, hapo nataman hata madam anyanyuke atoke pemben ya Yule jamaa…
“ nimekubali kuja na wewe hapa sio kwa sababu nataka usumbufu wako, ila ni kwasababu nakuheshimu, Shakti naomba uniache na maisha yangu, kwa maana kwanza hata hujui huyu niliekaa nae hapa ni nani kwangu, huyu ni shemeji yangu, yaan kaka wa mume wangu aliepotea, sasa sijui hata unamzungumzia mume wangu yupi? Akauliza madam, na kweli niliona aibu sana nikaona kama nimejidhalilisha hivi, yaan nikajua nimemuwez na huedna akaondoka pale, ila kumbe mimi ndio nilikuwa nimewezwa……….
Basi nikasogea pemben, maana sijui niliwekewa gundi, kwa maana miguu yangu iligoma kabisa kusogea mbali na ile restaurant kabisa, nikawa nimekaa sehemu nawaangalia tu kwa mbali, basi nikawa najiuliz wanaongea nn wakat wote huo, kwa maana hata kama ni shemeji ndio wakae waongee muda wte huo, nikahisi ka kitu ni lazima hakipo sawa…
Basi mwisho wakaagaa na yyule mwanaume nikamuona kabisa anamuangalia madam dhahara kwa nyuma, nilijisikia vibaya sana, sasa wakat anaondoka nikamfata..
“ heee Shakti kumbe bado haujaondoka? Akasema madam dhahara….
“ Yule mwanaume najua ni shemeji yako ila sikuwa namuamin kabisa kwa maana anaonekana kabisa kama anakutamani, wewe haujamuona, so nilikuwa simuamin ndio maana nilitaka kukutoa pale , au nimefanya vibaya madam, nikaanza kujitetea…
“ Shakti , mm sio mtoto mdogo tena, sasa nina miaka 30, najua la kheri na lashari, na ikitokea nimefanya kitu basi jua nimefanya nikiwa na akili timamu, na sifanyi jambo lolote lile kwa mihemko, so acha hayo mawazo yako ya ajabu, akasema madam …
“ naomba unisamehe kama nimekukwaza, nikaanza kujitetea, kwa maana nilionan namna ambavyo madam alikuwa amepanic wakat ambao nilienda pale..
“ usijal yameisha, akasema madam..
“ kama hautajali naomba nikupeleke nyumban, nikasema ..
Madam akaniangalia kisha akauliza, “ mbona kama unanijal sana, au unanipenda ? ..
“ hamna madam, wewe ni madam wangu na unajua namna ambavyo nilikuwa nakupenda na kukuheshimu kuanzia nilipokuwa mdogo, so ni heshima yangu kwakpo tu, na sio jambo lolote lile lingine, nikasema na madam akatabasamu kisha akasema “ umezidi kuwa kijana mwema sana Shakti, mungu akujalie mke mwenye moyo mzuri kama wewe…
Nikatabasamu kisha kimoyo moyo nikajisemea “ na mke mwenyewe ni wewE…
Basi akawa amepanda kwenye gari , na kama kawaida yangu nikawa namuangalia kwa kuibia ibia, kwa maana yaan nikimtazama huwa najisikia vizuri sana, basis afar ikaendelea pale, sasa jana yake niligoogle namna ya kumfanya single mama akupende, nikaona kuwa natakiwa kumpenda sana mwanae…
Tukapita sehemu ina kama ka min super market, nikasimamisha gari kisha nikaingia mule ndani, nikachukua chocolate, biscut , juice na crips kisha nikarudi na yeye nikamchukulia ubuyu kwa maana kipindi ananifundisha tution alikuwa anapenda ubuyu sana, basi nikampan ubuyu pale akanishukuru sana, nikajiambia kuwa vile vit vingine nitaenda kumpa mwanae mm mwenyewe…
Basi kama tunavyojua hakuna marefu yasio kuwa na ncha, na safar yetu nayo ikafika mwisho, tukafika mpaka nyumban kwa madam, nikashuka na mizigo yangu…
“ vipi hautanikaribisha ndani? Nikauliza kwa maana niliona madam ameniaga tu , nilivyosema hivyo akanikaribisha ndani……
Basi akaniacha ukumbin na mtoto, nikawa nampa zile zawad pale , mtoto akawa anashangilia sana, yaan alikuwa na furaha mno, sasa nikashangaa mbona hatoki kule ndani, na nikagundua kuwa alikuwa pekee yake , tofaut na bilivyokuja nae siku ya kwanza, nikawa nataman kumuona anafanya nn, nikasimama na kumuuliza mtoto choo kiko wapi?..
“ kiko chumban kwa mama yangu na kingine kiko nje, akajibu Yule mtoto, nikasimama kisha nikamuambia “ subiri anko anaenda choon mara moja, so hata nilipokuwa nasimama na kuelekea kwenye chumba cha mama yake, nahisi mtoto alihisi kuwa naenda choon, nikamkuta madam katoka kuoga anapaka mafuta….
Yaan nilisimama mlangoni nikawa nimeduwaa, yaan alikuwa anakila kitu ambacho huwa nakipenda, kwa maana nilikuwa napenda mwanamke mwembamba, mwenye kashape Fulani hivi cha kichokozi, na madam alikuwa nacho na miguu mizuri, nikawa nataman hata kwenda kumpaka mafuta, kuna muda mimi ndio nilikuwa nataman kuwa hayon mafuta, nifanye utalii kwenye mwili wa madam, kwa maana nilijikuta Napata msisimko wa ajabu, simulizi hii imeandikwa na Bahari ya simulizi . mpaka mzee baba wangu akaanza kunisumbua, nikawa nimesimama nimemtolea macho, na miguu yangu ni kama ilistack nikawa siwez kwenda mbele wala kurudi nilipotoka….
Mara kale katoto kakaja, kakasema “ anko mbona unamuangalia mama yangu, ndio mama yake akasikia, akasimama upesi, sasa wakat ambapo alikuwa amesimama si taulo likaanguka, yaan hapo nikaona nikiendelea kukaa pale naweza kufanya jambo la ajabu ambalo linaweza kuja kuniharibia kila kitu…..
Madam akakimblia kufunga mlango, kisha nikaondoka bila hata kuongea na mtu, na hata mtoto alipokuwa ananiita sikuwa kabisa namsikia, nikaenda kupanda gari, lakin hapo moyo wangu unaenda mbio hatar,mtunzi wa simulizi hii anapatikana kwa 0755090082 pekee… kichwan mwangu ile taswira ya madam alipokuwa aapaka mafuta ikawa inanisumbua, na namna taulo lake lilivyodondoka ndio nikazidi kuvurugwa kabisa, nikawa nahema pale, hata miguu yangu haikuwa na nguvu wala mikono, nikashindwa hata kuwasha gari, nikabaki nimeinamia usukani nawaza…
Nikaja kushtushwa na sauti ya madam, alikuwa mbele yangu, amefunga kanga kiunoni, amevaa na blauzi na kamtandio, yaan hakuwa anajua kuwa hata mavazi ambayo alikuwa amevaa ni kama alipania kunichanganya, kwa maana kwa namna ambavyo namjua madam ni mtu wa majuba, sasa kutoka na kablauzi na kanga kiunoni, niliona kama ananitega flani hivi, akawa anataka kuongea na mm, ina nilijua kwa namna hali yangu ilivyo nikisema nimjibu, naweza kujikuta nimekumbatia au kumkiss, so ni kama sauti yake ikanipa nguvu, nikawasha gari na kuanzab kuondoka…
Nimefika nyumban kichwa change hakitulii, nikawa nahisi kama namuhitaji sana madam wakat ule, nikawa nahisi nahitaji sana kuwa namtaka madam kimwili, niakshika simu yangu nikawa nataman kumpigia walau hata nisikie sauti yake, huenda ingenisaidia, au hata nione picha, yake, nikawa nimeshika simu napiga mahesabu, mwisho nikaona liwalo na liwe siwez kuendelea kuteseka mimi, nikaenda kwenye sehemu ya sms na kuandika kuwa “ NAKUPENDA SANA MADAM DHAHARA, NA HILI SITANII KWANI NINA HISIA NA WEWE MNO….
Itaendelea ……
MADAM WA TUTION 4
Page Bahari ya simulizi
WhatsApp 0755090082
Hapo nilikuwa nimejilipua na nilipo maliza kutuma sms, sikutaka kuangalia hata kama imeenda au laa, maana nilikuwa na wasiwasi sana, mara nikasikia sms inaingia, nikaogopa hata kuangalia simu kuwa ni nani ambae atakuwa amenitumia sms, kwa akili zangu nikajua nin lazima madam amejibu, na nilikuwa na uhakika kuwa majibu hayawez kuwa ,mazuri hata kidogo, sikutaka kujiharibia usingizi wangu, nikajifunika shuka gubi gubi, nikawa naogopa hata kushika simu kisha nikalala zangu…….
Basi sijui ni kwakuwa nilikuwa nawaza ile sms au ni vipi, yaan usikuwa wangu ulikuwa ni wa tabu sana, yaan nalala kidogo alafu nakurupyka, nataka kushika simu, najizuia najiambia kuwa nitashika asubuh, sasa hayo ndio yakawa mauza uza yangu mpaka palipopambazuka…..
Asubuh ilipofika kitu cha kwanza kuangalia ilikuwa ni simu yangu, nilitaka kuangaliua ni nani katuma sms na kama ni madam basi atakuwa amejibu nini…
Basi nikashika simu yangu, kwanza nikakuta sms haijaenda , ns sms ambayo ilikuwa imeingia n isms ya kuwa salio langu halikuwa linatosha, so sijui hata nilikuwa na pressure kuhusu nini, nikajikuta naanza kujicheka, kwa maana nilijiona boya mno….
Basi nikaamka, ila wakat wote kichwa change hakikuwa kinatu;lia, nikawa nawaza namna madam dhahara alivyokuwa anavaa, na namna taulo lilivyodondoka, ohhh my God nikawa najihisi kuchanganyikiwa kabisa kwa maana nashindwa kufikiria mambo mengine na nikawa namfikiria yeye tu…..
Basi nikaja kuamshwa na sauti ya mdogo wangu ambae alikuwa ananisalimia anaenda shule, nilikuwa nataman hata ndio angekuwa anarudi ili madam aje, nilikuwa nimemmiss sana, yaan nilitaman kumuona mno…
Basi kama mnavyojua saa hazisimami, siku hio madam aliwah sana tofauti na kawaida, na kama kawaida yangu nilipomuona nikakimbilia chumban kwangu ili kujiweka vzr, yaan nikavaa vzr , na kujipulizia viunyunyu flani hivi, yaan kwa namna ambavyo nilikuwa nataman madam dhahara anione handsome, ningekuwa mwanamke nadhan vipodozi vingenikoma ….
Kisha nikatoka, nikamkuta madam dhahara amepoa sana, nikamsalimia pale kisha nikamuuliza kama yuko sawa au laa, kwa maana ni dhahiri hakuwa sawa…
“ Shakti , naomba nikuombe samahan kwa kilichotokea jana, sikutegemea wewe unione nikiwa kwenye hali ile , so nilikuwa najisikia vibaya siku nzima, akasema madam..
“ yaan huyu madam vipi, kwanza niliinjoy nilivyomuona, nani kamuambia kwanza kuwa nilikuwa najisikia vibaya, hivi kuna mwanaume kwenye hii dunia ambae anawezab kujisikia vibaya kuuona mwili wa mwanamke ambae anampenda, nikaanza kujiuliza…
“ mbona upo kimya, najua hata wewe hili tukio litakuwa limekutesa sana, akaendelea kusema madam dhahara, nikatabasamu kisha nikawa nawaza kuwa “ ndio lilikuwa linanitesa, ila sijasema kwamba lilikuwa linaniumiza, yaan lilikuwa linanitesa kwa sababu nilitaka niendelee kuukagua mwili wako , nikawa nawaza pale…
Muda wote madam dhahara ananiangalia, ni kama alikuwa anasubiri reaction yangu, bila kujua kuwa macho yake hayo yananivurugaga basi tu…
“ nadhan mimi ndio nilikuwa natakiwa kukuomba samahan, kwa maana pale ni nyumban kwako, na wewe una uhuru na nyumba yako, mimi ndio sikuwa na adabu mpoaka nikakufanya ujisikie vibaya, nikasema , kisha nikamuomba madam aachane na hio mada, kwa maana hajui ni jinsi gani najisikia vibaya nikimuona anajuta kiasi kile, maana nahisi moyo wangu umeungana na wake, kwani maumivu yake huwa nayafill kabisa….
“ hivi madam umeshawah kuwaza kuwa na mahusiano mengine kwa kuwa mume wako hajulikan kuwa ataonekana lini? Nikamuuliza..
Madam akaangalia chini kwa sekunde kadhaa kisha akasema kuwa “ nampenda sana mume wangu, ila mimi ni binaadamu, na miaka minne ni mingi sana, na kipindi chote hichi nilikuwa namsubiria, ila sijui hata kama atarudi au ndio ameshakufa, akasema madam dhahara, na niliiona kabisa huzun kwenye macho yake…
Nikamsogelea na kumshika mikono kisha nikasema kuwa “ mume wako atarudi na hata asiporudi nadhan mungu atakuwa amekuandalia mwanaume bora sana kwenye maisha yako ambae nina uhakika hautakaa ujute kukutana nae…
“ inshaalah, akajibu madam dhahar…
Kikawaida madam huwa hapendi kushikwa na mwanaume, ila alikuwa ametulia nilipomshika nadhan alikuwa ananichukulia kama mdogo wake, ndio maana hata nilipomshika alikuwa katulia tuli, wakat mm hapo sikuwa na hali, nikawa namuangalia machoni, yaan nataman hata kumkiss, ila yeye alikuwa ameangalia chini kwa sura ya majonzi makubwa sana, mpaka nikawa najisikia vibaya….
Kama tunavyojua unlike poles attract, ndio hali yangu ilivyokuwa, yaan nilikuwa tayar nipo high, nikaona nitakuja kuharibu mambo na wakat madam ananichukulia kama mtoto, so nikasimama na kuingia chumban kwangu, ila nilikuwa high sana, kwa maana hali yangu ilikuwa imeshavurugika mno…..
Nikaona nijichukulie sharia mkononi, kwa maana hali ambayo nilikuwa nayo ningeweza kub*ka mtu bure, basi nikajimaliza zangu kisha nikatoka nikamkuta madam anamfundisha Sandra, akawa anatabasamu pale, mara ataniane na mdogo wangu, mpaka nikawa najikuta namuonea wivu Sandra kwa maana nilitaman hata mimi ndio ningekuwa yeye, yaan mimi ndio ningekuwa nataniwa, na mimi ndio ningekuwa karibu na dhahara, ila ndio hivyo hawez kunifundisha tution tena, yaan nilikuwa nataman hata ningekuwa mdogo tena….
Basi muda ulienda, na kama kawaida yangu nikamtaka madam nimpeleke nyumban ila alikataa, akanambia kuna mahali anataka kupitia…
“ naweza kukupitisha kwenye sehemu unayoenda kisha nikakupeleka nyumban, nikajibu…
“ Shakti embu niambie ukweli, wewe huwa unanichukulia je, kwa maana mm ni mwanamke na mwanaume akikutaka ni lazima umjue, sasa wewe nahisi kama you have fallen to me, ila kuna muda na hisi ni mawazo yangu mgando tu, n haunipendi kama ambavyo nilikuwa nafikiria, na huenda ukawa unanipenda kama mwalimu wako wa zaman, ila huu utata ambao iupo kichwan mwangu naomba leo uupatie majibu, “ do ypou love me, na kama unanipenda unanipenda penda je? Akauliza madam….
“ madam… madam.. mimi, nikashangaa nimepatwa na kigugumizi cha ghafla..
“ mimi nini? Akauliza madam dhahara …
“ mimi nakupenda, na wewe mwenyewe unajuwa kuwa nilikuwa nakupenda kuanzia nilipokuwan mdogo si unajua, nikasema, nikashangaa madam dhahara anatabasamu kisha akasema “ najua ila sasa hivi umeshakuwa, na mtu yoyote akikuona namna ambavyo unanitreat anaweza hisi kwamba unanitaka kimapenzi kumbe maskin unampenda tu madam wako upendo wa kawaida, akasema madam dhahara …
“ NAKUPENDA MADAM, nakupenda sana na naamaanisha, nikasema kwa sura ya userious kidogo nikashangaa madam ametoa macho huyo…
…JE NINI KITAENDELEAAA!! "
FULL SEASON 1000 TU
WAHI WHATSAPP 0755090082
